The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,674
- Thread starter
- #61
Kuna mtu alishawahi kuanzisha thread humu anatafuta mwanamke anaejua kununa manake raha yake yeye kubembeleza. Si unajua make up time zinavyokuwaga eeh?
Seriously waulize wanaume humu, if you just ignore everything anafanya anajisikiaje. Mfano unachelewa kurudi home huulizwi ulikuwa wapi, unasquander hela zako zote na hauulizwi wala kuwa encouraged kujenga etc, you dress whichever way you want. Hapo kuna ndoa kweli? Kugombwa kuna kautamu flani bana. Hata mie nikikoromewa najiskia yeees, he is a man after all:gossip:
mhhhhhh wewe lol