Wana mmu......

Wana mmu......

Kwanini isiwe "will l be loving him/her the same way when l am old?"

Kama wewe huwa unajiuliza 'will i be loving him the same way hapo baadae'
inaionesha doubts ulizonazo
na mostly the answer is no....
 
Kama wewe huwa unajiuliza 'will i be loving him the same way hapo baadae'
inaionesha doubts ulizonazo
na mostly the answer is no....

Maana yangu ni kuwa, "tunapenda kutendewa kuliko kutenda, kupendwa kuliko kupenda, kupewa kuliko kutoa". So kama una uhakika na pendo lako kwake, then sawa; lkn kama una wasi wasi na pendo lake kwako wakati wewe hutimizi wajibu wa kumpenda, that is selfishness!
 
Maana yangu ni kuwa, "tunapenda kutendewa kuliko kutenda, kupendwa kuliko kupenda, kupewa kuliko kupewa". So kama una uhakika na pendo lako kwake, then sawa; lkn kama una wasi wasi na pendo lake kwako wakati wewe hutimizi wajibu wa kumpenda, that is selfishness!

Okay nimeelewa your angle now
mimi haswa nilikuwa nazungumzia pendo lisilo na matatizo
liko saafi...but with time na kuzeeka na changamoto zake....
mtu ndo anajiuliza 'utakuwepo when meno yote yamenitoka'?
utakuwepo when natembea kwa mkongojo?
utakuwepo ambapo sex sio ya kiviile tena?
utakuwepo when i am 69?
 
mmetumiana kadiri ya roho zenu zilivyowaongoza, kwa hiyo hakuna kujuta wala kulaumiana.

Ila wazeekao pamoja huwa karibu zaidi hata kama walikuwa nth choices mwanzoni.

sawa tu?why is that?
 
naamini he will be loving me the way he love me now till that moment nikiwa kibibi!
Sadness is atakuwepo au nitakuwepo nitakapozeeka au atakapozeeka!
mwenzenu huwa sitaki kufikiria iwapo kuna siku haya maisha tunayoishi kuna mmoja
atamuacha mwenzie!
katika vitu nawishi ni kuzeeka pamoja nae ili kama tulivouona utoto pamoja,ujana pamoja,utu uzima pamoja na uzee tuuone pamoja!
hili la je atanipenda until tht day!I KNOW HE WILL!BECAUSE HE WAS AND HE IS LOVING ME!

Mmmmh....
 
Uzee una mambo mengi sana The Boss ..ni rahisi sana kusema tutakuwa pamoja..but in reality there a lot of hurdles to step aside...Mara nyingi katika umri mkubwa mahusiano yenu as watu wazima yanakuwa influenced sana na watoto wenu!..unaweza kukuta watoto wakabase sana kwa mama au kwa baba...all in all katika umri huo kinachobaki ni legacy tu ya ndoa....
 
Last edited by a moderator:
Chumbani kwako, lol

It aint important nimeiona wapi banaa. Muhimu nimeiwaza ilivyo kweli. At least when you are no longer madly in love you can still laugh together, say watch an old movie etc (naongelea kuzeeshana sasa, saa hiyo umri ni 60+ yrs old
hebu kumbuka uliona wapi?
 
Sasa uzeeni umuache mwenzio si utakuwa watafuta kufa peke yako, n lonely!!!!!!!! Kuna umri ukifika basi tenaa, mnakaa tu kungojea THE END!!!!!!!!!!!!
 
when i look at my parents in their mid 70's and still in love yeah i believe kuna some new passion that comes again mkizeeka pamoja,, hata kama hapo katikati mlipitia mabonde na malima mingi,,,,,,,
 
Back
Top Bottom