Jana kutwa nilikuwa nawaza hii statement:
marry the one who makes you laugh becoz later on in life, their sense of humour will be crucial.
sikumbuki niliisoma wapi, lakini its very valid. I hope i will still be able to make you laugh for the next 40 years
.....What's going to happen on the 41st year?
Jamani, jamani....kuna mijitu imezaliwa milalamishi tuu....always Grumpy (and they are unavoidable!)
Hahahaha, i hope i will be dead by then, lol
sasa kulalamika nayo si sifa moskwito? Na kuna watu wanavutiwa na ulalamishi, it makes them go wild. Hujapata kuona? Dunia ina maajabu acha tu
Chumbani kwako, lol
It aint important nimeiona wapi banaa. Muhimu nimeiwaza ilivyo kweli. At least when you are no longer madly in love you can still laugh together, say watch an old movie etc (naongelea kuzeeshana sasa, saa hiyo umri ni 60+ yrs old
on point, kuna watu wanavutiwa na ulalamishi, kuna watu wenzi wakiwa wamenuna wao ndio wanakuwa 'wild'
binadamu tumeumbwa tofauti sana.
:doh::bowl:Umechanganya vyumba naona lol
ndoa nyingi siku hizi hazifiki hata miaka 10
Kuna mtu alishawahi kuanzisha thread humu anatafuta mwanamke anaejua kununa manake raha yake yeye kubembeleza. Si unajua make up time zinavyokuwaga eeh?
Seriously waulize wanaume humu, if you just ignore everything anafanya anajisikiaje. Mfano unachelewa kurudi home huulizwi ulikuwa wapi, unasquander hela zako zote na hauulizwi wala kuwa encouraged kujenga etc, you dress whichever way you want. Hapo kuna ndoa kweli? Kugombwa kuna kautamu flani bana. Hata mie nikikoromewa najiskia yeees, he is a man after all:gossip:
Uzee una mambo mengi sana The Boss ..ni rahisi sana kusema tutakuwa pamoja..but in reality there a lot of hurdles to step aside...Mara nyingi katika umri mkubwa mahusiano yenu as watu wazima yanakuwa influenced sana na watoto wenu!..unaweza kukuta watoto wakabase sana kwa mama au kwa baba...all in all katika umri huo kinachobaki ni legacy tu ya ndoa....
you are very right SnowBall.
Umechanganya vyumba naona lol
wifi mbona kama huonekani jamvini!upo kweli au ndo majukumu ya kuachiwa familia yamekuwa mengi!si kaka alikwambia uje kwangu mambo yakikaba!
BTW mmeadimika sana na mumeo pacha wangu SnowBall mimi miss yu yu know!
Jamani wifi nipooo, majukumu mengi yamenibana na malezi ya watoto :mimba:, kazi na kusimamia miradi ya familia si unajua tena kama baba familia asipokuwepo majukumu yote unayatekeleza mama. Sie tupo wacha pacha wako SnowBall aje ajitete mwenyewe ila nae namuona kakaa upande ule wa wanaume. Weekend njema my wiii asante kutusabahi na kutukumbuka
Hahahaha, i hope i will be dead by then, lol
sasa kulalamika nayo si sifa moskwito? Na kuna watu wanavutiwa na ulalamishi, it makes them go wild. Hujapata kuona? Dunia ina maajabu acha tu
for sure King'asti, hata me huwa naenjoy my man akinikoromea kidogo. hapo ndo natambua uanaume wake lolest....... sio kila nifanyacho kwake sawa na ndio. nichelewe kurudi home haulizi, nitoke mida ya usiku kwake sawa, nichelewe kupokea simu sawa khaaa. mwanaume gani huyo!!!!!