Hicho ni kitendawili kaka....ila kwetu sisi huku uswazi, hiyo ni miaka ambayo inafikiwa na couples chache sana. Lakini wengi ambao hufikisha umri huo huwa wamesharuka viunzi vingi kiasi kwamba huonekana kushikamana sana (though not sure if that's what u guys call love).Huko kwao Ulaya na Amerika nadhani mambo ni tofauti sana.
naamini he will be loving me the way he love me now till that moment nikiwa kibibi!
Sadness is atakuwepo au nitakuwepo nitakapozeeka au atakapozeeka!
mwenzenu huwa sitaki kufikiria iwapo kuna siku haya maisha tunayoishi kuna mmoja atamuacha mwenzie!
katika vitu nawishi ni kuzeeka pamoja nae ili kama tulivouona utoto pamoja,ujana pamoja,utu uzima pamoja na uzee tuuone pamoja!
hili la je atanipenda until tht day!I KNOW HE WILL!BECAUSE HE WAS AND HE IS LOVING ME!
Jana kutwa nilikuwa nawaza hii statement:
marry the one who makes you laugh becoz later on in life, their sense of humour will be crucial.
sikumbuki niliisoma wapi, lakini its very valid. I hope i will still be able to make you laugh for the next 40 years
Yaani wewe kwa ligi...
sasa huoni tofauti hapo?
ndoa nyingi siku hizi hazifiki hata miaka 10
Ahhh si inategemea na mwanaume na mwanamke, wengine wanaoa kuiga tu flani kaoa na wanawake wengine anaolewa tu ili achezewe kitchen party :biggrin1:ndoa nyingi siku hizi hazifiki hata miaka 10