Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ina faida gani hasa ya kutisha mpaka mtu ukiikosa ujikatie na tamaa? Kulala nayo kila siku ama?
Poor you eti ndo ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi
Infiii kazini..
Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa.
Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi kuyoyoma....basi kila mtu wanamwona ni adui kwao. Wamejikatia tamaa.
Na bado..!

The claims are not statistically significant
Poor you eti ndoa ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi
Huwezi kujua faida za ndoa hadi uipate
umesahau wale waliokata tamaa na ndoa zao, frustrations haziwaishi, wanatamani kutoka waenjoy freedom ya kuwa single.
Amandla.
Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa.
Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi kuyoyoma....basi kila mtu wanamwona ni adui kwao. Wamejikatia tamaa.
we crap soma kwanza vizuri ndio uanze kuandika hizi pumba zako sijasema ina maana gani bali nimeuliza faida hasa ya kumfanya mkosaji ajikatie tamaa. Ulivyo mpumbavu eti unasema kuuliza swali hili ni sawa na kuuliza uhai una maana gani. So waliofiwa na waume/wake zao uhai hauna faida kwao ama mpuuzi sana wewe sura kama unataka kufa
Acheni jazba jamani.
Jitahidini tu hivyo hivyo.
Hebu ngoja tuangalie katika uzi huu kama hili lina ukweli! :lol::lol:...Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana.......
Acheni jazba jamani.
Jitahidini tu hivyo hivyo.
Duh,kwani kuna kigezo cha kuolewa/au kuoa ili uwe mwana JF?
Anyway,that's all about JF na fake IDs.
You don't have to make someone guess your real name,
your gender or your marital status.
Kuna mtu aliniomba password yangu ya sehem flani one day.
nikamtajia "alfaomega",...(don't even thing of cracking it),....akasema "alfa" haiandikwi hivyo
ni "alpha",...sasa what is the use of a password if kila mtu anaweza jua inaanzaje na kuishaje.
(By the way my password is always a key to another password).