Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mitishamba, Jan 13, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa.

  Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi kuyoyoma....basi kila mtu wanamwona ni adui kwao. Wamejikatia tamaa.
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  can you mention some of them if you don't mind?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli.
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Unayoyasema unauhakika nayo?Uchunguzi wako ni wa kisayansi au!Kama ni through comments basi nakupa pole, uchunguzi wako si sahihi!
   
 5. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utanikingia kifua kwa mahakimu wa humu?
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,kwani kuna kigezo cha kuolewa/au kuoa ili uwe mwana JF?
  Anyway,that's all about JF na fake IDs.
  You don't have to make someone guess your real name,
  your gender or your marital status.

  Kuna mtu aliniomba password yangu ya sehem flani one day.
  nikamtajia "alfaomega",...(don't even thing of cracking it),....akasema "alfa" haiandikwi hivyo
  ni "alpha",...sasa what is the use of a password if kila mtu anaweza jua inaanzaje na kuishaje.
  (By the way my password is always a key to another password).
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,088
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  heee makubwa haya tena.
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  isipokuwa wewe.
   
 9. n

  nasri athumani Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umegundua ulifanya uchunguzi au ndo kubahatisha! Sikila mwana jf awe ameolewa au kuoa
   
 10. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haka kamada najua kamewachoma wengi.
   
 11. c

  christer Senior Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  je kama wote ni wanaume.maana hakuna unayejua id yake ya kweli
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mwana MMU ni mtu wa namna gani?
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Acha mahakimu ! Humu tupo ma'Judges , na macho yetu hayakopesi !.
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  maBIGI.
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0

  Wewe ni Malaria Sugu in disguise?
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Wamejikatia tamaa ya nini?
   
 17. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Research zingine hazina hata title!!!
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kamada kenyewe ndo kako wapi sasa? lol...
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Du hizi research za MMU!!!!!!!!!!!!! kila kukicha mnagundua tu!
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Una ndoa wewe?
   
Loading...