Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,030
mmmmhhh Mkuu El Toro,unalinganisha uhai na taasisi ya ndoa? Una maana bila ndoa hakuna uhai? wewe hukuwahi kuchagua kuja duniani na wala hukujipangia tarehe gani uingie duniani,ndoa ni hiari unapanga unaamua siku ya harusi.Ndoa is a matter of choice,uhai is a matter of being,mambo mawili tofauti Mkuu!Ukiua mtu mahakama zinakuhukumu kunyongwa na mahakama hizo hizo ndo zinatoa talaka,you see nao ze difference?Poor you eti ndoa ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi