Ningelisimamia vizuri kabisa zoezi hili, ila ni kwamba leo usiku nasafiri, narudi kazini kwangu Southern Sudan, na nitakuwepo kwa siku 35 ndipo nirudi tena home
sasa baba wewe ukijitoa itakuwaje? wakati mwanao nakutegemea wewe
Jamani hizi opportunity msiziache, umechaguliwa kufanya jukumu fulani we fanya. Bila kupoteza muda tuma namba yako tukutumie pesa huyu mama ajengewe choo.
ukiamka na ukalala salama yapasa kumshukuru Mungu sana. Dah! Pole ya huyo bidada
bestito ningefanya hivyo ila nimeomba udhuru labda tumwambie kiongozi wetu au founder wa jf Invisible afanye jukumu hili kwani yeye ataliweza kulifanya kwa usahihi kabisa.[/Q
Kwa hiyo unafanya zoezi zima life kwa sababu ya udhuru? kwa nini usitoe namba ziflow halafu ukimaliza mambo yako utukusanye tukamkabidhi mlengwa!

ingekuwa ni vyema kupajua anapoishi huyo mdada ingekuwa vizuri
hivyo naomba mnitajie anapoishi kwa Tanzania
Kweli kabisa, kisha mkishapaona ifanyike tathmini ya vitu vinavyohitajika ili kukamilisha mchakato huo na baada ya hapo kiasi gani kinatakiwa......wenye moyo na watakaojaaliwa uwezo wa kuchangia wachangie. Japo watu8 ameomba udhuru, napendekeza ashiriki hata remotely kwenye huu mchakato!
Jamani hizi opportunity msiziache, umechaguliwa kufanya jukumu fulani we fanya. Bila kupoteza muda tuma namba yako tukutumie pesa huyu mama ajengewe choo.