Wana MMU tumchangie mwenzetu ajenge CHOO

Wana MMU tumchangie mwenzetu ajenge CHOO

umeniudhi vibaya sana sipendi naomba usirudie tena, tena kufanya hivyo pls
acha kutumia signature za wenzio vibaya usitake makuu hapa
"Behold, I am the LORD, the GOD of all flesh; is there any thing too hard for me?
Jeremiah 32:27
 
umeniudhi vibaya sana sipendi naomba usirudie tena, tena kufanya hivyo pls
acha kutumia signature za wenzio vibaya usitake makuu hapa

Sijui kwa nini umenielewa vibaya, ila naomba uniwie radhi na unisamehe. Nilichokua namaanisha ni kwamba Mungu atakusaidia katika hili jukumu japo kibinadamu ni zito, ila hakuna linalomshindikana kwake.

Ningekua Dar, ningeweza kwenda kutembelea aliko huyo dada na kufanya tathmini na kuwapa wahusika.

Narudia tena, niwie radhi!
 
mamito ngoja tuwaambie viongozi hapa jf (mafounder) nadhani wao wafanye jukumu hili itakuwa ni vyema zaidi na italeta userious wake, ngoja niwaite Paw, Invisible, @Moderate njooni huku

wao wana nini na sisi tuna nini?? Nazjaz angeweza kuwa amewachagua lakini kakuona wewe!!! Unakimbia majukumu yako. Anyeway. Be blessed.
 
nimekusamehe, yameisha best huwa sipendi mtu kutumia signature yangu kwa kukoment kitu
ni bora uniPM ili nikwambie uiweke au la, Unajuaje kama mm niko Tanzania - Dar?
Sijui kwa nini umenielewa vibaya, ila naomba uniwie radhi na unisamehe. Nilichokua namaanisha ni kwamba Mungu atakusaidia katika hili jukumu japo kibinadamu ni zito, ila hakuna linalomshindikana kwake.

Ningekua Dar, ningeweza kwenda kutembelea aliko huyo dada na kufanya tathmini na kuwapa wahusika.

Narudia tena, niwie radhi!
 
oky asante ila nitajitahidi kwani jukumu zito sana na mm niko bize sana
wao wana nini na sisi tuna nini?? Nazjaz angeweza kuwa amewachagua lakini kakuona wewe!!! Unakimbia majukumu yako. Anyeway. Be blessed.
 
Kwa hesabu ya kwamtoro hapo ni faaaaaaasta mwazani huyo anachupa kwwnye jakuzi!!!!!!

Hebu tufanye hiki ili mwisho wa mwaka nasi tuwe na la kurejesha kwa jamii sio tutumie tu jina la jamii huki mioyoni wagumu kama tindo

Aaaaaaanh tutaitwa tindofurum sasa
 
Tupe namba ya kutuma hiyo hela, hakuna shortcut kwenye maisha my dear. Tuko pamoja.

Kuweni serious basi kama kuna taratibu tujuzeni mapema hata huku Kiembe samaki ZNZ kuna Tigo Pesa na Airtel Money HAKATWI MTU HAPA......

watu 20,000/= mara 1,000 = 20,000,000/=
5,000,000/= Choo cha kisasa
10,000,000/= ujenzi bora wa nyumba yake
5,000,000/= Atafanya lolote litakalo faa kwa future ya maisha yake, baada ya wawakilishi kuona itafaa.
Hima hima Invisible

Wakuu huu mchakato umeishia wapi? Nazjaz, Invisible tunawategemea sana kwenye kufanikisha hili lengo. Kwa mahesabu za kwamtoro Tuonyeshe utofauti kwa kufanya kitu kinachoweza kuonekana japo kidogo kuliko tusipofanya chochote na kuishia maneno matupu!

Nadhani Mungu atatuwezesha......
 
Last edited by a moderator:
ANGALIZO:-
HIZO PESA TUTAZOCHANGIA ZIFIKE KWA MUHUSIKA..isijekuwa yaleee ya marehemu Kanumba na Alberto mangweha...watu wakauaga umasikini kirahisi tuu.

KWA KUANZIA NAOMBA IWEKWE NAMBA YA SIMU TUTOE KIDOGO TULICHONACHO....IFUNGULIWE NAMBA ISAJILIWE KAMA "JAMIIFORUM KWA JAMII"....

changes..yes we can.
 
Jamani I m sorry nashindwa kushiriki kikamilifu nipo mbali kidogo na Tz, pia mawasiliano ya internrt ni magumu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom