Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Mgirik
Kati ya pombe ninazopendelea Mimi
Spirits and wines beer Kwa mbali sana
 
Last edited by a moderator:
Kati ya pombe ninazopendelea Mimi
Spirits and wines beer Kwa mbali sana

sprit n kali ila ukizingatia ulaji haizuru chochote....

Na huwez kuacha pombe gafla jambo la kufanya ni:
kama ulikuwa unakunywa kila sku basi jitahidi hata sku mbili kwa wiki zpite bila kugusa pombe

kama ulikuwa unakunywa pombe za elf50 basi punguza kunywa za 40.

Jaribu hata kujiweka busy na kaz au hata kama uko off na huna kaz ya kufanya usiende kupiga stor na makundi ya wanywaji ww kaa ndan na wife au nunua hata movie angalia jifungie ndan tu.

Jitahid sana kuzingatia ratiba ya ukwepaji kunywa pombe kila siku jitahid kupunguza siku za kunywa pombe kila siku na uanze kunywa pombe lain kama castle.

Hapo utazoe itafikia hatua utakuwa unakunywa za 10 tu kwa wiki au wiki mbili au hata mwez.

Ila usiache kabisa kwasababu utaniacha peke yangu kwenye hiki chama(natania)
 
Mgirik

Good piece lol,umenichekesha sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa....mtoa mada ni mkaliii...sasa ulikuwa unatushirikisha la nini wakati haupo tayari kuacha lol
 
Usiache pombe broo
ila jitahidi kupunguza na ishi maisha ambayo yatakuwa siyo kero kwa mkeo ila hayo maisha ya drugs achana nayo..
Anza mazoezi, uwe unakunywa maji kwa wingi sana.. Achana na pombe za usiku sana achana na kampani mambo ya raundi.. Ukizingatia hayo utaishi kwa amani (ikiwezekana anza kumfundisha mkeo mdogo mdogo atazoea muanzishie wine baadaye lite baadya ata konyagi atapiga tu)
 
Hakuna pombe isiyo na harufu soda yenyewe ina harufu sembuse pombe?
Wewe jamaa umeshaiweka akilini kwamba pombe ni njema kwako kwa hivyo hapa kukupa ushauri wa kuacha pombe ni sawa na kucheza makidamakida...
ENDELEA KUNYWA POMBE..ONGEZEA NA KOKEINI KISHA MALIZIA NA MARIJUANI...KAMA POMBE YAFAA YANINI KUHOFIA MWANAMKE?
Pombe hainuki na pombe ninayo kunywa Mimi my dear siyo mataputapu it's certified so mshauri Mumeo ajaribu nafikiri hataacha
 
Pole sana.
Mradi umekubali kuwa hilo ni tatizo basi umeshaanza safari ya kuelekea kupata suluhisho.
Kuacha ni ngumu ila inawezekana,cha kwanza na kikubwa ni kutia nia
 
Pole sana.
Mradi umekubali kuwa hilo ni tatizo basi umeshaanza safari ya kuelekea kupata suluhisho.
Kuacha ni ngumu ila inawezekana,cha kwanza na kikubwa ni kutia nia

Thanks Kwa uelewa mkuu Ennie
 
Step 1
nikujua sababu kwanini unataka kuacha na udhamirie moyoni mwako kuwa unaacha

step 2
anza kupunguza usiache kwa mara moja anza kupunguza kama ulikuwa unakunywa creti zima punguza hadi kumi baadaye 5

step 3
panga siku ya kuacha labda ikifika dicember 1 nitaacha.. Lakini hapa ni heri ukatumia ile mbinu ya kujiambia kuwa naacha kwa siku 40 tu anza kukaunti dowuni.. Katikati hapo ikitokea umebwia tena pombe inabidi uanze upya niwazi kuwa ukimaliza hizo siku 40 itakuwa ngumu sana kurejea pombe

stp 4
waambie watu marafiki mkeo n.k kuwa umeacha ili hata ukitaka kunywa uone noma.. Lakini hapa kuwa makini kuna marafiki wengine hata kama hawana ela watataka tu wakakope wakupe ofaa ilikuohakikisha kweli umeacha wewe kataa

step 5
epuka kusikiliza hadithi za pombe kuangalia au hata kufikiria mambo ya pombe. Ikiwezekana hata nyumbani unavyo vitu kama glass zenye nembo ya pombe pasua kama tisheti choma au mpe mtu.. Hata maeneo ya bar usipende kwenda hata kama unapenda pool table acha kwenda hukoo

step: 6 jipongeze kwakuacha pombe kila unapofikia labda wiki mbili au tatu au hata mwezi jipongeze.. Unaweza hata ukajisifu au ukajinunulia wewe zawadi au hata mkeo zawadi ya kujipongeza..
Endeleza kama zipo
Step: 7
 
Hornet

Acha kelele wewe unaropoka tu humu
 
Last edited by a moderator:
TIASSA

Hahahhaaha wewe unanishauri nimfundishe mpaka wife aisee hapo hapana
 
Last edited by a moderator:
hutakua wa kwanza kuachana na mke, hutakua wa kwa kuwa chizi. Endelea tu. Mbona MICHAEL JACKSON, WITNEY, NGWEA. Hatunao.
Go ahead. Tena ongeza dozi. PIMBI.
duuuuuuuh balaaa hiii mkuu
 
Hornet

Umeona eeh? Anywe kwa raha zake ikibidi alale baa kabisa...yan mwanamke huyo anataka kumkalia kichwani? Mkuu we mwanaume bwana kunywa kunywa mwaya
 
Last edited by a moderator:
Mfungulie mtoto account,makadirio pesa zote ulizokuwa unakunywa zidumbukize kwenye account yake, usitembee na kadi ya atm, weka cash kidogo to kwa wallet, weka vitu vinavyokuvutia kukaa home at home, kila unapoenda out kuwa na mpenzi wako
 
"THE DAY YOU BEGIN TO HATE URE FAILURE, IS THE DAY YOU START TO WIN". Albert Einstein.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom