Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Ikiwa usmeshaona unataja kuacha na na ndani ya nafsi yako umeonelea n uko tayar bas n hatua kubwa sana punguza kidogo.kudogo kama ilikua ni kwa siku mara tatu bas fanya mara mbili ipunguze kisha utaona.umeweza.kabisa kuacha
 
Ikiwa usmeshaona unataja kuacha na na ndani ya nafsi yako umeonelea n uko tayar bas n hatua kubwa sana punguza kidogo.kudogo kama ilikua ni kwa siku mara tatu bas fanya mara mbili ipunguze kisha utaona.umeweza.kabisa kuacha

Asante Mrs Aka mamafacebook kila siku unabadilika Kama kinyonga
Thanks for accepting my proposal kurudia jina Lako la awali
 
utaacha siku utakapojikuta umeangusha Gari na umeshaliwa koboga.......
 
Kwani ulianzaje?
Fuata fomula uliyoanza nayo ndo hiyo hiyo itakusaidia kuacha.
 
This is a psychological matter it's not a matter of just deciding that's why people go to rehab

aisee naaqmini every thing is decision u can make it ...... mbona ukiumwa sana ukaambia acha pombe utaacha iweje uone kipenzi chako kinachoropoka unaendelea kuendekeza pombe..... mpe uzito mpenzi wako uone kama utaacha hata bila kwenda hospitali
 
Hahahah sicheki kwamba nmefurahi hapana ila ni kweli nitakumwaga...very soon(joking)
 
Kuna jamaa hapa kitaa tumemalizia 40 yake juzi! Ndipo nikaamini kweli pombe inaua pombe mbaya bora uache tu ndugu
 
Asee jitahd uache m mjomba wng aliendkeza hizo pombe mpk sasa tushazika zetu anakarbia kukata 2 yrs ...... bro jitahd xn uache nawe unakoelekea tutakupote....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom