Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

kaka upo makini na una nia kweli ya kuacha? njoo pm ni lazma tuongee nimefanikiwa kuacha hiyo makitu mwaka wa pili now...but its not easy...inahitaji kujitolea kwa mengi sana Ikiwamo kutengana kugombana na watu wako wa karibu.

karibu pm.....

Thanks mkuu
Inaitaji Moyo sana nimekuwa nikijaribu for the last 2 years ila nakuwa nafail kila wakati
 
hutakua wa kwanza kuachana na mke, hutakua wa kwa kuwa chizi. Endelea tu. Mbona MICHAEL JACKSON, WITNEY, NGWEA. Hatunao.
Go ahead. Tena ongeza dozi. PIMBI.

Huu ushauri mzuriii
 
Ufumbuzi ni kuepukana na makundi/ marafiki yani ukinywa mwenyewe utaona unapiga mbili tayari unakumbuka home.
 
Nlijua ungekuja Hapa tu Miss Chagga sasa wewe ukizidiwa na unajua ugonjwa hautaenda hospitali,au utajitibu mwenyewe,Mganga hajigangi
Mazoea hujenga tabia,hivi wewe siku umepunguza kunywa unavyopenda
Pombe
Cc Khantwe

Learn how to control thing... na siyo thing zikucontrol sawa
 
Kuna mtu wa karibu sana home, oh the guy sips liquor hadi namuonea huruma...
Mke amejaribu hadi basi, hii ni addiction kama zilivyo addictions zingine za drugs, it's a chronic brain disease...!

Tafuta wataalamu ili ufanyiwe rehab...!
 
miss chagga, addiction is a brain disease..it's even chronic..!
Ina develop taratibu hadi mtu anajishindwa...!
Ikishakuwa chronic, sio rahisi kui control..!
Jiulize, kwa nini watu wanaotumia drugs hawaponi hadi wafanyiwe rehabilitation...!
 
Last edited by a moderator:

Okey sawa tu
 
Pole sana na hongera kwa kulitambua na kulikubali tatizo naamini wana mmu watakuja na mbinu nzuri ni hatua gani uchukue ili ujikwamue kabisa naamini utafanikiwa. Mungu akutie nguvu
 
Respect mkuu
 
miss chagga, addiction is a brain disease..it's even chronic..!
Ina develop taratibu hadi mtu anajishindwa...!
Ikishakuwa chronic, sio rahisi kui control..!
Jiulize, kwa nini watu wanaotumia drugs hawaponi hadi wafanyiwe rehabilitation...!

Thanks Kwa kumuweka Sawa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu wa karibu sana home, oh the guy sips liquor hadi namuonea huruma...
Mke amejaribu hadi basi, hii ni addiction kama zilivyo addictions zingine za drugs, it's a chronic brain disease...!

Tafuta wataalamu ili ufanyiwe rehab...!

Once an addiction it's you become an addict watu hawajui you have to go for rheas for this coz it's a psychological matter
 
Mmmh pole.
Nenda hapo kigamboni kwa dada pili utapata ushauri/matibabu namna ya kupunguza au kuondokana na hilo tatizo.
Ukitaka namba yake niite pembeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom