Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Umeona eeh? Anywe kwa raha zake ikibidi alale baa kabisa...yan mwanamke huyo anataka kumkalia kichwani? Mkuu we mwanaume bwana kunywa kunywa mwaya

Kumbe una mdomo eh
 
Replies

Kuna kituo Kigamboni kinasaifia watu wanaotaka kuachana na drugs plus pombe. Chukua likizo ili uweze kilitatua tatizo hili.

Frunky speaking sipendi mwanaume mlevi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kituo Kigamboni kinasaifia watu wanaotaka kuachana na drugs plus pombe. Chukua likizo ili uweze kilitatua tatizo hili.

Frunky speaking sipendi mwanaume mlevi.

Frankly speaking !!! Just to put it correct
Ok mi siyo mlevi ni mnywaji that makes it all different
You don't have to like me either hut aongeza au Kupunguza nlichonacho na nsichokuwa nacho
Handle your business lady
 
Af we kama hujielewi? Umeleta hii thread ya nini? Mbona wanaokupa ushauri unawananga kisa nini?
 
Af we kama hujielewi? Umeleta hii thread ya nini? Mbona wanaokupa ushauri unawananga kisa nini?

Unatoa ushauri positive if at all you wanna a nigga to change siyo kuongea rubbish tu Hapa nimemnanga NANI
Na wewe keep quite let me handle these issues alone usinifuatefuate UMENIELEWA
Nahisi ntakuwa sijielewi Kama Mumeo
This is my ----ing thread for God's sake,keep some d....
 
Replies

Kila jambo ni kuamua tu angalia hasara za pombe utajua wapi pa kuanzia
 
Last edited by a moderator:
Replies

Hahahahaa makubwaaa......sasa hapa umekuja kututangazia kwamba huwezi kuacha pombe ama...? Unamaanisha watu wote kwenye huu uzi wameongea pumba? Siku nyingine kama hujisikii kuacha hilo jambo lako kaa kimya sio unaleta hapa then ukishauriwa unakuwa mkali
 
Last edited by a moderator:
Khantwe

Ushauri upi umenipa we mwanamke kwanza tuanzie hapo
Pili usiseme watu I am talking to yo lady
Don't be defensive kijinga kijinga tu na huna point ya msingi ya kuniambia
Handle your issues ulikuwa huna ulazima wa kujibebisha au kupita Kwa Uzi Huu nkt
 
Naona umepaniki....mi nimesoma jinsi unavyojibu ushauri wa watu kwa ukali wakati ushauri umeomba mwenyewe.... Anyway sorry for everything
 
Replies

hahahah!!! kama lugha ya watu huijui si uandike kiswahili??, aibu tupu umejidhalilisha!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom