Yes Yes Yo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 232
- 99
- Thread starter
- #41
Unachosema ni kweli, ila sitaki kumuumiza zaidi, nimejikuta moyo na roho yangu vimegoma.
Na angekukatalia ni wazi ungemnanga kuwa anajisikia!! Jamani we kaka sio vizuri kucheza na hisia za mwenzio. Usikute kabla hujamtongoza mwenzio alishakufia kitambo alikuwa anakuvizia tu useme suu..............