Wana MMU naombeni msaada wenu wa kimawazo.

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
Habari zenu !
Naombeni msaada wenu wa kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili

Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.

N:B sijawahibkukutana nae kimwili.
 
Ulimjaribu ili iwe je sasa..amekumbali mchukue,mbona kabla ya kumjaribu haukuja kutuomba ushuri?
 
hongera sana kwa kunywa sumu kiutani utani!

sasa ni lazima ikuue!
 
Unacheza Na Hisia Za Watu. Unafikiri Muda Wote Ni Utani Tu. Binti Kajua Kapata Mtu Wa Kumliwaza. Kumbe Kaingia Kwenye Janga
 
0.jpg
 
Kwani umfanyie mwenzio kama panya majaribio haya sasa mchukue
 
Eti nilikuwa natania, subiri nawe siku utaniwe afu ndo ushakolea.
 
Habari zenu !
Naombeni msaada wenu wa kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili

Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.

N:B sijawahibkukutana nae kimwili.

Umelikoroga mwenyewe lazima ulinywe.... Hivi unajua maumivu anayopata mwanamke baada ya kutendewa hiko unachotaka kutenda????

Ndo maana mnalogwa.......
 
hilo kaka ulishalikoroga.....ebu LINYWE SASA!
 
Labda nikuulize. Una mda gani tokea umtongoze. Pia jaribu kupunguza ukaribu wako na yeye na mubaki kuwa marafiki wa kawaida. Kama kuna majina ya kimapenzi mnayoitana acha kabisa
 
Mkuu ukitaka kuwa siriaz nao tumia utani. ukiongea nao ukiwa siriaz wengi wao kama wanaonaga unatania.

Sijui kwa nini lakini. Kuna Dada mmoja aliwahi kutuambia kwenye ''brothers night'' kuwa msichana hataniwagi.

Habari zenu !
Naombeni msaada wenu wa kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili

Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.

N:B sijawahibkukutana nae kimwili.
 
Ndugu Mapenzi Hayajaribiwi Kama Yametokea Basi Fanya Hvyo Au Vp? kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili

Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.

N:B sijawahibkukutana nae kimwili.[/QUOTE]
 
Mwambie tena kwa utani kuwa yeye na wewe basi, wazazi wako wamekutafutia mwingine, tena mwambie kuwa wazazi wako ni vigagula kishenzi na wanakula nyama za watu, mwambie kuwa wazazi wamesema kuwa mkingangania kuwa pamoja watakula nyama yake. Akiamini huo utani kwisha habari, (tahadhari: this applicable only once, ukidanganya mwingine in this way, it will turn to real)
NI MTAZAMO TU.
 
Back
Top Bottom