Unacheza Na Hisia Za Watu. Unafikiri Muda Wote Ni Utani Tu. Binti Kajua Kapata Mtu Wa Kumliwaza. Kumbe Kaingia Kwenye Janga
Kwani umfanyie mwenzio kama panya majaribio haya sasa mchukue
Habari zenu !
Naombeni msaada wenu wa kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili
Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.
N:B sijawahibkukutana nae kimwili.
Umelikoroga mwenyewe lazima ulinywe.... Hivi unajua maumivu anayopata mwanamke baada ya kutendewa hiko unachotaka kutenda????
Ndo maana mnalogwa.......
Najua kiasi gani hua mtu anavyo umia, ndio maana nimeomba ushauri ni jinsi gani amabavyo naweza tengana nae pasipo kumuathiri.
Labda nikuulize. Una mda gani tokea umtongoze. Pia jaribu kupunguza ukaribu wako na yeye na mubaki kuwa marafiki wa kawaida. Kama kuna majina ya kimapenzi mnayoitana acha kabisa
[/QUOTE]Ndugu Mapenzi Hayajaribiwi Kama Yametokea Basi Fanya Hvyo Au Vp? kimawazo jinsi ya kutatua hili linalo nikabili
Kuna mwanamke nilimtongoza kwa utani utani, bahati mbaya amekubali. Na nilifanya hivyo kama kubahatisha kwasababu before sikufikilia kama angenikubali. Ila sasa huyu mwanamke yupo serious sana katika haya mahusiano. Mie nataka niachane nae pasipo kumuumiza, maana naona nitampotezea mda wake kwasababu sikua na malengo nae na nilifanya kama majaribio.
N:B sijawahibkukutana nae kimwili.
Mwambie tena kwa utani kuwa yeye na wewe basi, wazazi wako wamekutafutia mwingine, tena mwambie kuwa wazazi wako ni vigagula kishenzi na wanakula nyama za watu, mwambie kuwa wazazi wamesema kuwa mkingangania kuwa pamoja watakula nyama yake. Akiamini huo utani kwisha habari, (tahadhari: this applicable only once, ukidanganya mwingine in this way, it will turn to real)
NI MTAZAMO TU.
pole yake huyo bidada kumbe ulitaka umchezee tu afu umuachie maumivu makali kwa kucheza na moyo wake ila sio vema hivyo na haifai
km unajua hayo yote
ulimtongoza wa nn?
mbona nyie watu mnakiwa hiv?
hivi ushakiuliza ungefanyiw ww ungejickiJe?
remember wht goes around comes back around