OOOOh ...najua waTz wengi Hatupendi Ukweli..
This is too much inachosha...
hivi humu ndani jaman kila mtu anajikweza, kila mtu anajifanya handsome/beutiful ifunanya kuliko mwenzie,Shape na mazegembe humu yamejaa.....Wakati models tumejaa kibao na wengine wa mviringo wamo humu....
Ikija habari za kudrive kila mtu anadrive humu ndani, wakati wengine hata baskeli hatuna wala mkokoteni...Lakini utasikia jana nilikatiza na bebiwoka yangu nikamwona mtoto kumbe alikuwa kwa ngondi...Ya nini hayo yote jamani?
Mapishi...kila mtu mpishiii,
Yaani kila mtu juu jamani, kisa avatar inavutia unataka kudanganya watu hapa,
Hebu tuwe real bana tuache kuigiza jaman....
Mabadiliko yaanze na sisi wengine waige namna hii tupunguze idadi ya utapeli jamaniiiiii
Humu ndani wengi masingle,wajane na wagane baada kuwa watu halisi tukae na kufarijiana ndo kwanza tunazidishiana ugumu.....:nimekataa:nimekataa
Samahani kwa niliemkwaza ukitaka matusi nitupie kwenye pm nikuelewe vizuri...
WEWE mwenye kukashifu najua utakuwa umenielewa zaidi..
siku njema