Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Ina maana kigoma waliamini?
Ina maana kigoma waliamini?
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.
Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.
Washabiki wa CCM kazi munayo.
Kaazi kweli kweli!

Labda tumuulize Zitto.
kumbuka mkuu kule kati ya majimbo 8 ccm wamepata 3 tu so jamaa hawezi kamteua naibu 1 tu.
Ingekua wingi wa mawaziri ndo maendeleo, Zanzibar ingekua kama Dubai, maana ina zaidi ya mawaziri 5 na sehemu yenyewe ndogo