Wana-Kigoma Wapigwa Changa la Macho

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.

Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.

Washabiki wa CCM kazi munayo.

Kaazi kweli kweli!
 
me nlishaacha kumuamini siku nyingi huyo ingawa namtambua kwa msimammo wa chama changu cha APPPT Maendeleo
 
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.

Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.

Washabiki wa CCM kazi munayo.

Kaazi kweli kweli!

Si rahisi kwa mawaziri kutoka kila mkoa. Kumbuka tuna mikoa mingi, cha muhimu ridhika na walioteuliwa.

Mbona Chadema hakikuteua viti maalum toka kila mkoa?

Wamegawana gawana Moshi, Arusha, Manyara na nyumbani kwa Lisu.
 
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.

Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.

Washabiki wa CCM kazi munayo.

Kaazi kweli kweli!

Kigoma kuna mbunge wa CCM? na kama yupo hajapingwa mahakamani?
 
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.

Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.

Washabiki wa CCM kazi munayo.

Kaazi kweli kweli!

kumbuka mkuu kule kati ya majimbo 8 ccm wamepata 3 tu so jamaa hawezi kamteua naibu 1 tu.
 
Labda angemptia mkosmali wengine wote majitaka-kujipendekeza kwa saana lakini bora kukosa kabisa kuliko kupewa mtu kama wassira, mary nagu, hawa ghasia, sophia simba, mahanga, nchimbi, mathayo, kabaka,kawambwa, mathias chikawe, wiliamu lukuvi,shamsi nahodha, ngeleja,magembe, malima, maige,hussein mwinyi,-hao wote niliowataja bila bila bendera fuata upepo tegemea maumivu hawatakua na jipya ni tantaliala tuuuuu, sana sana juhudi binafsi toka kwa magufuli, mark mwandosya,mwakyembe, sitta, basi labda na hawa wapya but dont give any hope ni mfumo nyanganyi vinatoka vichwa nilivyovitaja tuuuu
 
Nielimisheni, je maendeleo hayawezi kuletwa kwenye mkoa mpaka huo mkoa uwe na waziri?
 
kumbuka mkuu kule kati ya majimbo 8 ccm wamepata 3 tu so jamaa hawezi kamteua naibu 1 tu.

Ingekua wingi wa mawaziri ndo maendeleo, Zanzibar ingekua kama Dubai, maana ina zaidi ya mawaziri 5 na sehemu yenyewe ndogo
 
hukumbu aliyoyafanya mramba alipopewa wizara ya miundombinu? Anyway kwakuwa bado wageni kitalani basi tuwape muda.
 
kwani mkwere huwa anakumbuka anayoyasema? kama angekuwa nakumbuka basi angewapa walau hata waziri ili aweze ku-follow up
anywa y atakumbuka ukifika mwaka 2015...:A S crown-1:
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.

Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na Waziri yoyote kutoka mkoa waKigoma.

Washabiki wa CCM kazi munayo.

Kaazi kweli kweli!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom