Wana-Kigoma Wapigwa Changa la Macho

Jamani tusishangae kigoma kuwa dubai maana alisema wakati wa kampeni alikuwa anatoa ahadi za papo kwa papo ambazo hazina record yoyote sasa hiyo ina utofauti gani na mtu akipumua......
 
kilimanjaro waliahidiwa barabara za lami kuzunguka mlima kilmanjaro hivyo msiwa cheke kigoma tuko wengi
 
Back
Top Bottom