ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,774
Habari Wadau..
Kuna msemo wa Kiswahili unasema kawia ila ufike..
Waziri wa Ujenzi Prof.Mbarawa amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa TanRoads Nchi nzima kwenda Kigoma Kujifunza Ujenzi wa Barabara Bora na za Kisasa kuanzia underpasses,overpasses,pedestrian traffic lights,keep left nk zinafanywa Ili kuwa na matumizi Bora ya Barabara.
Baada ya Mkoa wa Kigoma kutengwa kimiundombinu ya umeme na Barabara Kwa muda mrefu, hatimaye Rais dokta Samia ameamua kufanya kweli.
Serikali ya awamu ya 6 imewafita machozi na maumivu ya miaka Mingi Wana Kigoma Kwa kuwamwagia miradi mikubwa ya Barabara za kufungua Mkoa huo Kila pande.
Kwa mujibu wa Meneja wa TanRoads Mkoa wa Kigoma ,Kuna jumla ya miradi 12 ya ujenzi wa Barabara inaendelea Mkoani huko huko Wachina wakikimbiza kazi Kwa Kasi kubwa.
Bila shaka Ile ndogo ya Kigoma kuwa kama Dubai huenda inaenda kutimia maana ukiacha Barabara za kuunganisha Nchi jirani, Mikoa na umeme Kuna ujenzi meli Ziwa Tanganyika, uwanja wa ndege, hospital ya Rufaa ya Kanda,Tawi la BoT na Mabwawa ya Umeme na Tactic.
Kigoma ya Sasa na itakayolnekana mwaka 2025 kamwa haitafanana na Miji yeyote uchwara hapa Tanzania kama Moshi,Tabora au Singida. Kazi iendelee.
👇