Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Kigoma ni sehemu nzuri kwa kuishi na kuwekeza,lakini serkali imetelekeza mkoa ule kwa muda mrefu,kwahiyo wananchi wote wenye uwezo na fikra chanya za maendeleo waliamua kuhama na kwenda kuishi sehemu zenye huduma zote za msingi..

Mfanyabiashara makini hawezi kukaa sehemu haina barabara,haina umeme,haina ndege,.

Watu wa kigoma ni wachapa kazi haswaa ila kazi zao haziwafikishi popote sababu serikali haijawekeza vizuri kwenye miundombinu hasa barabara za kuingia na kutoka kigoma.

Kigoma inahitaji vitu vifuatavyo ili iende mbele

1.meli angalau mbili za mizigo na abilia kwa ajili ya DRC na Burundi.

2.Barabara ya lami Kigoma-mpanda.

3.barabara ya lami kigoma-tabora

4.barabara ya lami kigoma-shinyanga
5.barabara ya lami kigoma-kagera

6.barabara ya lami kigoma-burundi

7.usafiri wa ndege wa uhakika

8.umeme wa uhakika.

Hiyo miundo mbinu itasaidia sana.
Lami Kigoma burundi ipo
Lami kigoma tabora bado kipande kidogo sana cha uvinza tu malagarasi
Lami ya Kigoma kagera mkandarasi yupo site
 
Naongea na form one hapa.....hujui chochote , Mwanza hakuna uwekezaji mkubwa??
ndo uutaje ss uliozid mikoa mingine mpk ukawa mkoa wenye uwekezaj mkubwa tz hii!yaan kupata degree ya ku google udom unaanz kujiona umesoma sio?
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Hii ujumbe uwafikie wana Tabora pia ni aibu!!
 
Unachokisema ninaweza kuamini lakin ningependa kujua wewe kwenu ni wapi?
 
Nasema tena kagera ni habari nyingine wanaoiponda wana sababu zao,,,,iko hivi watu wa kagera ikiwahitaji kuona maisha yao nenda vijijini huko utakuta maduka makubwa makubwa ya jumla na reja reja ,,,naipenda sana kagera na najivunia kuzaliwa kagera,changamoto zipo ila kawaida tu kama sehemu zingine,,,Nenda bk vjjn ujionee mambo,nenda mleba vijijini uone,nenda misenyi uone maajabu,nenda karagwe uone vijana wanavyofanya kufuru. Wavivu wapo utawakuta na maisha duni lkn wengi wako fit sana,,,naweza kukupa mtihani mmoja kwenye vijiji flani kagera ukahesabu nyumba za nyasi utazitafuta asubuhi hadi jioni usizione
Duuh!!!wewe mzee wa Nyakibimbili...Wasalimie Kyabajwa Chief
 
Hii ujumbe uwafikie wana Tabora pia ni aibu!!
Kuna watu wanaitaja taja Kagera huku kwenye uzi wa kigoma.

Hebu niwape Ka kijjji kamoja huko Bukoba vijijini Kwa wahaya
50170708_102473717479762_8096965731290526322_n.jpeg
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Kweli kaka haahhahahahahahaaaa kwao burundi,
 
Kama inefikia hatua hata Mwanza ninayojua ndoo jiji la pili bongo lakini inazidiwa na Katavi,Morohoro,Tabora,Songwe,Pwani,Ruvuma ,Lindi ,Mtwara n.k basi hizo takwimu ziko vzr sana ,acha mm npite tu

Mwanza waitoe hakuna kitu hichoo huwezi fananisha mwanza na tabora sijui kagera
 
Back
Top Bottom