Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

kama ulitoka chuo na ukatumia methodology ulizojifunza huko ukakusanya sample ya wavuta bangi na wanywa gongo kama wewe ulitegemea uje na statistical data za maana hapa zaidi ya kubwabwaja bila ushahidi? mawazo kama hayo ya kwako yaliyo jazwa tope la ujinga wa kuwaza mambo ya kichawi kama wewe ulivyo

kwakweli ni janga la kitaifa.
hujui usemacho
unaweza jificha ktk shamba LA maharage? endelea kubisha upumbavu wew bila shaka kwenu ni buhigwe ubishi n asili yenu mnaweza kubishana hata na jiwe
 
yani nilivoenda Kigoma nilidhani nimeingia nchi nyingine...ukienda vjijini geografia imekaa vibbbaya
.yani ukitoka kijiji kimoja kwenda kingine ni hadi urudi barabara kuu ...halafu kuna rasilimali lkn watu hawawendi kuwekeza..miundo mbinu mibovuuu....Yyyani.
kaz yao n kushinda magengeni kubishana
wanaweza kubishana hata na jiwe
 
NINAKUSHUKURU KWA KUTUKUMBUSHA LAKINI NAKUOMBA MLETA HOJA UNIAMBIE KWENU WAPI NIKUPE MAJIBU JAPO KIDUCHU. KARIBU.
 
kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfano
kigoma vijumba vingi n nyasi je serkl ije iwajengee za bati?
Hivi uliuliza bei ya bati na saruji Kigoma ni kiasi gani? Unategemea m-kigoma anunue bati 20,000/- halafu Dar wanunue 15,000/- halafu uwalaumu eti ni masikini hawaezeki nyumba zao kwa bati kisa uchawi? You are not serious man.

Vv
 
Hivi uliuliza bei ya bati na saruji Kigoma ni kiasi gani? Unategemea m-kigoma anunue bati 20,000/- halafu Dar wanunue 15,000/- halafu uwalaumu eti ni masikini hawaezeki nyumba zao kwa bati kisa uchawi? You are not serious man.

Vv
acha kutetea ujinga mkuu
bati dar likiuzwa 15000
kigoma likiuzwa 20000 n halali hiyo 5000 n usafiri, au ulitegemea hayo mabati yatasafirishwa kwa ungo?
acheni ubishi wa kijinga mtarndelea kuwa maskini
 
Kwa kwel bado hawa watu wapo nyuma nyuma tuuu. kazi tu kuongea kiluga hata mkiwa class yana wanaboa sana.. kila saa tu namaki. namaki
Embu acheni ujinga na upumbavu huo
 
  • Thanks
Reactions: 365
Wakwe zangu hawapendani na hawapendi kwao. Wanaendeleza mikoa ya wengine. Tabora, Mwanza, nk. Wametapakaa Nchi nzima. Ni wafanyabiashara wenye bidii Ila hawawekizi Kigoma vya kutosha. Siku Mungu akiwafungua akili "wakihanzula" mikoani na kurudi kuwekeza Kigoma hakutakuwa Mkoa au mji wenye maendeleo TZ kama Kigoma. Waha badilikeni.
 
thubutu
Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule ...
ukijenga tu jiandae kurudi kwenye jeneza ..watu hawataki kabisa kuona vijana wanakuwa na maendeleo.
kuna wengine ambao niwazawa hawataki kurudi hata kutembea kwao
yaani hawataki kurudi hata kwa bahati mbaya
Mbona zitto kajenga na anadunda mpaka leo
 
Back
Top Bottom