Gomegwa G
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 414
- 539
Acha uongo wewe.Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.
Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.
Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.
Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Kigoma hakuna shida kama unavyodanganya hapa.
Kuna changamoto kubwa ya barabara za rami lakini hakuna shida ya njaa njaa kama mikoa ambayo mnaioverrate kama Dodoma.
Kigoma huwezi ukasikia imepewa msaada wa chakula au kuna ugum wowote wa maisha.
Kogoma waachie wa kigoma na wengine wanaopapenda wewe baki kwenu.