Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

indicator mojawapo ya maendeleo ya sehemu yoyote n miundombnu bora
sasa kama barabara tu n vumbi je idara nyingine?

Sasa kama serikali inachukua pesa zao/kodi inazipeleka hazina dar es salaam na hazirudi kujenga miundo mbinu wao wafanyeje???? Mnataka kutwambia lami za moshi zimejengwa na wananchi kwa michango ya nyumba kwa nyumba???? Sema kipindi hicho wako serikalini walipendelea kwao
 
Mfumo wa majimbo uletwe haraka ili kila jimbo litumie kodi zake kasawa sawa sio mnachukua hela za watu mnazipeleka hazina kuu dar es salaam akina makonda wanazitumia kununua magari ya kifahari alafu mnakuja kutusimanga watu wa mikoani,,moshi imejengwa na wezi waliokuwa na madaraka serikalini acheni kujisifu ujinga
 
Kuna watu wanaifananisha kagera na mikoa mengine,,,,propaganda mfu hazitawasaidia,kagera ni mkoa ambao watu wake asilimia kubwa wanaishi maisha mazuri sana tena sana,,nenda kaangalie makazi yao/nyumba wanazoishi zilivyo bora,kaangalie mashamba,mifugo kiasi, ustaarabu kwa ujumla katika hali kama hii kagera ni onother level

Kuna wilaya chache kama ngara ambayo wapo warundi wengi ndio labda watu wake bado wanaishi kimaskini na biharamulo kdgo.

Ukienda Bukoba vijijini, muleba,misenyi,karagwe utashangaa standard ya maisha,watu wako vizuri tena vizuri mno nakwambia sijaona mkoa wenye maisha bora kama kagera labda moshi nayo siijui vzr,,,,kagera imepatwa na majanga makubwa mno lkn bado iko imara

Hata awamu nyingi zimeitelekeza lkn bado watu wanapambana kutoka kimaisha,,kagera ingekuwa ulaya nawaabieni.
 
Mbona wahaya wanasifa sana, kumbe kwao hawajajenga!!!!
Wahaya asikwambie mtu wako vzr mno kimaisha tena vzr mno,,achana propaganda za wapumbavu alafu unakuta mtu anayeponda yuko dar analala chumba kimoja na wanae wakati watu wako bukoba vijijini wanaponda raha kwenye mijumba ya adabu na mandhari safi kbx ya migomba na kahawa
 
Nasema tena kagera ni habari nyingine wanaoiponda wana sababu zao,,,,iko hivi watu wa kagera ikiwahitaji kuona maisha yao nenda vijijini huko utakuta maduka makubwa makubwa ya jumla na reja reja ,,,naipenda sana kagera na najivunia kuzaliwa kagera,changamoto zipo ila kawaida tu kama sehemu zingine,,,Nenda bk vjjn ujionee mambo,nenda mleba vijijini uone,nenda misenyi uone maajabu,nenda karagwe uone vijana wanavyofanya kufuru. Wavivu wapo utawakuta na maisha duni lkn wengi wako fit sana,,,naweza kukupa mtihani mmoja kwenye vijiji flani kagera ukahesabu nyumba za nyasi utazitafuta asubuhi hadi jioni usizione
 
Acheni kuwa mnapenda kuongea matusi na kashfa za hovyo kwenye maeneo ya watu. Kiasi unachoelekea unataka kusema kule wanaishi wanyama.

Ni wapi uliona pamefika hapo eti watu ndo walijenga? na unalazimishwa na nani kwenda huko wewe usipopapenda? Wewe huko kwenu hakuna watu kutoa mikoa mingine wamejenga huko? Acheni ubaguzi wenu na dharau zenu, grow up!
Pole aisee mkuu
 
Ukifika kagera hutaamin
Magorofa ya mjini yatakusaidia nini wakati si ya baba ako,,nenda vijijini ujionee mijumba ya adabu watu wanaishi kama ulaya huko kagera,,hatuibembelezi serikali inayoiba kodi zetu halafu inazichelewesha zikajenge miundo mbinu ya bara bara na maji bali tunapambana kivyetu kama vipi tuache tujitenge muone maajabu tutakayofanya kwa dakika sifuri tu.
 
Kuna watu wanaifananisha kagera na mikoa mengine,,,,propaganda mfu hazitawasaidia,kagera ni mkoa ambao watu wake asilimia kubwa wanaishi maisha mazuri sana tena sana,,nenda kaangalie makazi yao/nyumba wanazoishi zilivyo bora,kaangalie mashamba,mifugo kiasi, ustaarabu kwa ujumla katika hali kama hii kagera ni onother level

Kuna wilaya chache kama ngara ambayo wapo warundi wengi ndio labda watu wake bado wanaishi kimaskini na biharamulo kdgo.

Ukienda Bukoba vijijini, muleba,misenyi,karagwe utashangaa standard ya maisha,watu wako vizuri tena vizuri mno nakwambia sijaona mkoa wenye maisha bora kama kagera labda moshi nayo siijui vzr,,,,kagera imepatwa na majanga makubwa mno lkn bado iko imara

Hata awamu nyingi zimeitelekeza lkn bado watu wanapambana kutoka kimaisha,,kagera ingekuwa ulaya nawaabieni.
Mi huwa nawashangaa wanaolinganisha vijiji vya wahaya huko Bukoba vijijini na maeneo mengine tz .

Binafsi sijawahi ona tz hi vijiji vilivyo mijumba na mazingira ya kuishi kama Kagera kidogooo japo ni sehemu ndogo Kilimanjaro wanajitahidi ila na wenyewe bado maana Moshi yenyew ni Sawa na Wilaya moja ya misenyi Tu katika vijiji vya bukoba .

Kama mtu anataka kuwa mbishi aangalie utaratibu wa usafiri mkoani Kagera .ni mkoa gan ambao Una daladala za vijijini nyingi kama Bukoba yaana vijiji vya kamachumu vina daladala zaidi ya 60 .hii inamaana kuwa asilimia kubwa ya watu wanaishi huko vijijini.
Kagera ndo mkoa wenye urbanization ndogo Sana kwa sababu ya uafadhali wa Maisha vijijini mtu haoni haja ya kutoka kijijini.
Kumbuka Kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu bongo

Bukoba vijijini huko
tapatalk_1557326061325.jpeg
 
sasa wabadilike, hawa wengi wamekimbilia Dar lakini hawarudi kwao, wajifunze kwa wachagga, Jumba la Mengi hakuna mtanzania aliyejenga vile, tena kijijini, ila mzee wetu ndio akitaka kula raha anakwenda na mke wake kule
We unamsifia mengi wakati kwenu choka mbaya kibanda kinataka kudondoka baba ako amekalia kunywa mbegge,,,naona we ndio umejikwamua umepata ka kazi ka upolisi maskin ya mungu!! Au cjui mjomba wako ndo polisi maana naona lipicha la gwanda!! Unalingaaa,umekalia kumsifu mengi,si umsifu babako pumbavu wewe.
 
Mi huwa nawashangaa wanaolinganisha vijiji vya wahaya huko Bukoba vijijini na maeneo mengine tz .

Binafsi sijawahi ona tz hi vijiji vilivyo mijumba na mazingira ya kuishi kama Kagera kidogooo japo ni sehemu ndogo Kilimanjaro wanajitahidi ila na wenyewe bado maana Moshi yenyew ni Sawa na Wilaya moja ya misenyi Tu katika vijiji vya bukoba .

Kama mtu anataka kuwa mbishi aangalie utaratibu wa usafiri mkoani Kagera .ni mkoa gan ambao Una daladala za vijijini nyingi kama Bukoba yaana vijiji vya kamachumu vina daladala zaidi ya 60 .hii inamaana kuwa asilimia kubwa ya watu wanaishi huko vijijini.
Kagera ndo mkoa wenye urbanization ndogo Sana kwa sababu ya uafadhali wa Maisha vijijini mtu haoni haja ya kutoka kijijini.
Kumbuka Kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu bongo

Bukoba vijijini hukoView attachment 1118017
Watu hawaijui kagera vzr!! Hatuna haja ya kupendezesha mji wakati vijijin kwetu mambo yako xawa sana,ukihitaji sementi,bati,misumari yaani chochote kihusucho ujenzi unapata kijijini hapo hapo
 
Kagera tunahitaji mtandao wa maji tu vijijini baaaaaasi,mengine yako vzr sana,serikali itusikilize tunahitaji mtandao wa maji japo tuna chemi chemi nyingi pia tunachota maji mitoni ila baadhi ya sehemu bado maji ni tabu kidogo.kujenga hatuitaji ushauri hiyo ndiyo jadi yetu
 
We unamsifia mengi wakati kwenu choka mbaya kibanda kinataka kudondoka baba ako amekalia kunywa mbegge,,,naona we ndio umejikwamua umepata ka kazi ka upolisi maskin ya mungu!! Au cjui mjomba wako ndo polisi maana naona lipicha la gwanda!! Unalingaaa,umekalia kumsifu mengi,si umsifu babako pumbavu wewe.
kaka "nyakibimbili" pole sana, "ni wivu tu unakusumbua" lakini shule za kata anazojenga Zitoo zitawatoa matongotongo.

Mimi ni askari, nashukuru umenipa ajira ila mimi ni mtanzania, sitaki ukabila kama wewe Mha.

naomba uendelee kuonea wachagga wivu, wenzio wanaishi nkama wzubfu wewe unakimbizana na mawese tu huko huku mnawajengea wenzenu dar,

amka,
 
We unamsifia mengi wakati kwenu choka mbaya kibanda kinataka kudondoka baba ako amekalia kunywa mbegge,,,naona we ndio umejikwamua umepata ka kazi ka upolisi maskin ya mungu!! Au cjui mjomba wako ndo polisi maana naona lipicha la gwanda!! Unalingaaa,umekalia kumsifu mengi,si umsifu babako pumbavu wewe.
ni wivu tu
 
Mi huwa nawashangaa wanaolinganisha vijiji vya wahaya huko Bukoba vijijini na maeneo mengine tz .

Binafsi sijawahi ona tz hi vijiji vilivyo mijumba na mazingira ya kuishi kama Kagera kidogooo japo ni sehemu ndogo Kilimanjaro wanajitahidi ila na wenyewe bado maana Moshi yenyew ni Sawa na Wilaya moja ya misenyi Tu katika vijiji vya bukoba .

Kama mtu anataka kuwa mbishi aangalie utaratibu wa usafiri mkoani Kagera .ni mkoa gan ambao Una daladala za vijijini nyingi kama Bukoba yaana vijiji vya kamachumu vina daladala zaidi ya 60 .hii inamaana kuwa asilimia kubwa ya watu wanaishi huko vijijini.
Kagera ndo mkoa wenye urbanization ndogo Sana kwa sababu ya uafadhali wa Maisha vijijini mtu haoni haja ya kutoka kijijini.
Kumbuka Kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu bongo

Bukoba vijijini hukoView attachment 1118017
kuna daldala nyingi kwakuwa hamtumii magari binafsi, kilimanjaro kuna daladala chavhe kwakuwa muda mwingi wanatumia private cars.

kilimanjaro wana uzungu sana, hata wazungu wenyewe huwa wanashangaa, viongozi wote wa seriklaali hununua nyumba kilimanjaro kama si kutaka kuoa huko ili wapate mashemeji wastaarabu
 
Mleta Mada
Mungu Anakuona (Imana Ilakubonye)
 
Magorofa ya mjini yatakusaidia nini wakati si ya baba ako,,nenda vijijini ujionee mijumba ya adabu watu wanaishi kama ulaya huko kagera,,hatuibembelezi serikali inayoiba kodi zetu halafu inazichelewesha zikajenge miundo mbinu ya bara bara na maji bali tunapambana kivyetu kama vipi tuache tujitenge muone maajabu tutakayofanya kwa dakika sifuri tu.
una roho ya kibinafsi sana, wewe si mhaya, utakuwa mrundi tena interahamwe.
kila kitu unasma "si ya baba yako" inaonyesha usivyo na lishe na utapiamlo unakutawala,

Kikwete alikuwa anazunguka dunia na anasema anataka tuwe na viwanda kama nchi fulani, magufuli naye the sam, kwani hivyo viwanda vya baba zao?
wewe ni interahamwe wa ajabu kwa karne hii, sijawahi ona mtu wa ajabu kama wewe.
 
kuna daldala nyingi kwakuwa hamtumii magari binafsi, kilimanjaro kuna daladala chavhe kwakuwa muda mwingi wanatumia private cars.

kilimanjaro wana uzungu sana, hata wazungu wenyewe huwa wanashangaa, viongozi wote wa seriklaali hununua nyumba kilimanjaro kama si kutaka kuoa huko ili wapate mashemeji wastaarabu
Punguza uchaga wew eti wachaga wana uzungu sana[emoji3]

Unavyowasema unafikiri hatuishi nao Kwanza kuna washamba wengi huko.

Yaani vijiji vyenu vyote ni Sawa na Wilaya moja Tu ya muleba.

Hiv unaweza ukaniambia factor moja ya urbanization ni umaskini uliokamaa vijijini
Kagera ndo mkoa wenye urbanization ndogo Sana kwa sababu ya uafadhali wa vijiji vyake na Maisha .mtu haoni haja ya kukimbilia mjini wakati anarizika akiwa kijijini ndo maana kuna daladala nyingi huko.

wachaga hamuwezi fika hata robo ya matajiri wa kihaya.hata mengi wenu huyo amekufa

Huku wahaya kuna wawili katika ten best ya matajiri bongo huku wengina wakiwa waarabu
 
umejipotosha dogo, kwanza niheshsimu mimi ni jajoi.

pili, hujafika kilimanjaro, fedha za kigeni zinazotumwa nchini nyingi zinakwenda kilimanjaro, wahaya hamna kitu hicho, well labda tu sikuhizi mmeacha uchawi ndio najua ila kiburi majivuno na kujisifia hamjaacha.
 
Back
Top Bottom