jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
n kweli kule umaskkini umetamalaki,hawana tofauti kubwa na ndgu zao wa kagera
hahahaBangi na milungi
Kagera kunanuka umaskiniHacha bangi za mchana wewe, kagera unaijua vzr kweli?
Duh ya kweli haya? Maana nikiitafakari Tabora ilivyo na huu ulinganisho wako basi wahaya ni debe tupuKagera panazidiwa na Tabora mkuu.
orodha ya mikoa maskini kW mujibu wa wizara ya fedhaKagera kunanuka umaskini
Kagera kunanuka umaskini
Hivi hata lami inajengwa na wananchi?n ukweli mtupu huwez amini kigoma lami IPO mjini hadi manyovu border tu
mkoa mzima n vumbi
unafahamu TEREZA?HahHah, shida siyo uchawi tuu, watu hawataki kuelimika, wengiwao hamekalilishwa vitu vya kijinga,japo natoka kigoma kuna vitu vinakera ukiwa unavisikia karne hii ya 21,
Na usomi wote jamani? Au ni sifa tuu?Kagera kunanuka umaskini
indicator mojawapo ya maendeleo ya sehemu yoyote n miundombnu boraHivi hata lami inajengwa na wananchi?
Vv
Mkuu niliwahi fika mwanza mbona hawako vibaya Sana nilikaa siku 8 tuu nikageuza au Uko ndani ndani ndo balaa nini?orodha ya mikoa maskini kW mujibu wa wizara ya fedha
1_kigoma
2_geita
3_kagera
4_singida
5_mwanza
mkuu punguza kidgo ukali wa maneno watu watajinyonga hapaDuh ya kweli haya? Maana nikiitafakari Tabora ilivyo na huu ulinganisho wako basi wahaya ni debe tupu
hapa n mkoa kiujumlaMkuu niliwahi fika mwanza mbona hawako vibaya Sana nilikaa siku 8 tuu nikageuza au Uko ndani ndani ndo balaa nini?
Asante kiongozi kwa ufafanuzi ,,nadhani mwanza ni sawa na mwanamama aliye paka make up akapiga passporthapa n mkoa kiujumla
sio mwanza mjini
Ngoja waje watapanic haomkuu punguza kidgo ukali wa maneno watu watajinyonga hapa
hahaha watu MNA manenoAsante kiongozi kwa ufafanuzi ,,nadhani mwanza ni sawa na mwanamama aliye paka make up akapiga passport
nawafahamu watatokwa. povu balaaNgoja waje watapanic hao