Mji gan ambao biashara inaanza saa 12 jioni, na Mwanza maduka yote yanafungwa sa 12 ni wapi hapo, Arusha nimekaa 1yr, Moshi nimekaa 3Months Mpak Sanya juu Kule nimeishi, Manyara kateshi nimekaa 6months, Mbeya nimekaa 2months, Iringa nimekaa 3yrs, Dsm nimekaa 2yrs, Musoma nimekaa 4yrs, Simiyu nimekaa 2weeks, Tabora nimekaa 3months, Dodma na morogoro pia nimeishi na pote huko mafuta ya vibaba yanapimwa....unataka kutuaminisha kuwa huko wananunua mafuta kwa Lita?tuambie sie tunaekaa!tz hii ckuwah kujua kuna duka wanapima mafuta ya kupikia ya sh 100 hii nmei exprience mwanza!yaan kiujumla purchasing power ya watu wa huk ipo chin sanaa.Na kilchonishangaza biashara mjin mwsho n saa kumi na mbil jion,maduka yote yamefungwa huku miji mingine muda huo ndo biashara zinanza
Asante kiongozi kwa ufafanuzi ,,nadhani mwanza ni sawa na mwanamama aliye paka make up akapiga passport

aisee watu mnamanenoUmeandika makorokoro mengi lakini hujatuwekea ref za tafiti zako, unaposema ni wa kwanza kujua kiswahili unatumia ref gani? au kustaarabika ni ref gani, au kielimu ni ref gani? na mengineyo, hao akina buraza kei walivyo wachafu ni shida, zamani tulikuwa tunasoma mwanza enzi usafiri pekee ulikuwa ni treni, ilikuwa ukipangiwa behewa la Kigoma unalia, ni wachafu hatari! wanasafiri na ugali wa rowe, migebuka, tumbaku, watoto kama wote! ni kelele kwa kilugha cha kiha tu! sasa sijui huo ndio ustaarabu uliokuwa unamaanisha or?Acha ni kujibu tu nikiwa mwanakigoma.Wanakigoma ambao ni waha, manyema, watongwe, wajiji, wagoma, wabembe na wafipa na watutsi wachache.
Watu wa kigoma asilia wamehamia kutoka nchi za jirani karne nyingi zilizopita.
Watu wa kigoma kiasilia they are migratory people.Hivyo wamesambaa mikoa mingi.
Watu wa kigoma ni makabila ya kwanza kuanzisha miji hapa nchini kuanzia kigoma ujiji, tabora mjini, mwanza mjini, Dar, morogoro nk.
Watu wa kigoma ni kati ya makabila yalioweza kumiliki viwanja mapema zaidi, kuanzia kariakoo, magomeni, tandika nk ambapo nyinyi mlikuwa bado mnawinda ngedere huko kijinini kwenu.
Watu wa kigoma waliupokea ustaarabu mapema zaidi kuliko wasukuma, wanyamwezi nk.Watu wa kigoma walielimika mapema zaidi kuliko makabila mengi(elimu ya kiarabu).
Watu wa kigoma walikipokea kiswahili mapema zaidi ya makabila mengi tz na ndio lugha kuu pale sio kama mbeya hadi mjini kinyakyusa na kisafa kwa kwenda mbele.Watu wa kigoma(manyema) are travellers, ni watu wanaosafiri na wametawanyika nchi nyingi na mikoa mingi kuliko mnavyofahamu.
Watu wakigoma nii watu wa mabadiliko katika nyakati.
Watu wa kigoma ni watu wanaojifunza na wadadisi wa mambo na hutaka kuyajua kiundani.
Watu wa kigoma ndio watu wa kwanza kupata elimu ya kimazingira ya majini na uvuvi.
Watu wa kigoma ni watu wanaojitoa mhanga kubadili hali zao kiuchumi bila ya msaada wa serikali.
Watu wa kigoma ndio watu wanaomiliki maduka mengi mikoa ya kanda ya ziwa.
Watu wa kigoma ndio watu walioitawala biashara ya masoko kuanzia kariakoo na mikoa ya kanda ya ziwa(ikumbukwe kigoma huzalisha kwa wingi zaidi dagaa, maharage, tangawizi, mawese, sabuni, mihogo, na madini pemba nk).
Watu wa kigoma wengi tu wamesoma pengine kuwazidi makabila mengi japo serikali iliwatenga kwa miaka mingi kutokana na mrengo wa kidini.
Watu wa kigoma ndio wajanja wa mjini utawakuta magomeni, kariakoo, ilala tandika nk.wanapiga dili
Watu wa kigoma ni watu wenye vipaji vikubwa vya sanaa hadi yule wa ulaya kwao ujiji.
Watu wa kigoma wanastrago kwa nguvu yao zaidi kuliko favor za serikali.
Watu wa kigoma uchumi wao ulisimama kutokana na vurugu za kivita za nchi jirani,
Watu wa kigoma ndio watu wa kwanza kuleta mageuzi nchini na mbunge wa kwanza wa upinzani ambae alikuwa Dr.Amani Kaburu.Baadae majimbo yote yalikuwa ya upinzani(sio jambo dogo ila kwa mtazamo wako finyu ni jambo dogo).
Watu wa kigoma walitengwa na serikali ya ccm kwa miaka mingi ikiamini eti sio watanzania ni wakongo na warundi, rejea kesi ya kakobe.Hivyo serikali hii haikujenga miundombinu mpaka awamu ya JK na Magu, lami na SGR (Thanks kwao).
Watu wa kigoma ndio walima tumbaku wakubwa urambo nk.
Watu wa kigoma ni watunza mazingira wakubwa kuliko makabila mengi hasa nyanda za juu kusini na kati ambao huchoma hovyo misitu, walichoma mpaka mlima Rungwe ambao unahistoria.
Kigoma ni kati ya mji unaovutia kimazingira it is very green.Hivyo acha kupotosha.
Watu wa kigoma ndio watu waliotunza mapori yao na wanyama wao tangu enzi za mababu sasa wameingia "fisi" na man'gombe yao baada ya kuharibu kwao.
Nimalizie kwa kusema watu wa kigoma wanachakula cha kujitosheleza na kulisha mikoa ya jirani pamoja na kutengwa na kubezwa tunailisha Tabora, Mwanza, Shinyanga, Singida Dar, na hawajawahi kumbwa na njaa tangu dunia ianze na hii hupelea kuwa na afya nguvu, mvuto wa sura na maumbile yasiofubaa kama makabila mengi.
Mwisho usipende kuwabeza watu wa kigoma wanahistoria kubwa katika nchi hii pengine kuliko kwenu huko na huwafahamu vya kutosha uliza ndugu ujibiwe usikurupuke.Karibu kwa hoja
huwez ukawa serious kuwa upime mafuta ya kupka sh 100 huk ndoo ile ya mafuta imauzwa elfu 60 mpk 70,namaanisha watu wengi hawawez ku afford kwny manunuz ya jumla ndo maana unaikuta mwanza kwny top 5 ya mikoa masikin,na huko ulipotaja kote cja uhakika kama umekaa au umepita njia ila nnachotaka kukwambia huwez linganisha prchasing power ya huko na ya mwanzaMji gan ambao biashara inaanza saa 12 jioni, na Mwanza maduka yote yanafungwa sa 12 ni wapi hapo, Arusha nimekaa 1yr, Moshi nimekaa 3Months Mpak Sanya juu Kule nimeishi, Manyara kateshi nimekaa 6months, Mbeya nimekaa 2months, Iringa nimekaa 3yrs, Dsm nimekaa 2yrs, Musoma nimekaa 4yrs, Simiyu nimekaa 2weeks, Tabora nimekaa 3months, Dodma na morogoro pia nimeishi na pote huko mafuta ya vibaba yanapimwa....unataka kutuaminisha kuwa huko wananunua mafuta kwa Lita?
Ndo nakwambia hv kote huko wanapima mafuta ya vibaba toka kwenye ndoo hyo ya elf 60 Na 70, na umedai maduka yote yanafungwa sa 12 jion na ukasema miji mingine maduka yanafunguliwa Saa 12 mpak kuchee nitajie hzo sehemu , na pia Nipe calculation zilizotumika kuonyesha hii sehemu ni maskini na hii sehemu ni tajir, na pia leta takwimu ya miji ambayo makampuni mengi yanakimbilia kuwekeza, taasisi binafsi e.g banks , bila kusahau ukusanyaji wa mapato kwa miji hapa tz..huwez ukawa serious kuwa upime mafuta ya kupka sh 100 huk ndoo ile ya mafuta imauzwa elfu 60 mpk 70,namaanisha watu wengi hawawez ku afford kwny manunuz ya jumla ndo maana unaikuta mwanza kwny top 5 ya mikoa masikin,na huko ulipotaja kote cja uhakika kama umekaa au umepita njia ila nnachotaka kukwambia huwez linganisha prchasing power ya huko na ya mwanza
Swali Lipo palepale mbona hamjengi kwenu?Acha ni kujibu tu nikiwa mwanakigoma.Wanakigoma ambao ni waha, manyema, watongwe, wajiji, wagoma, wabembe na wafipa na watutsi wachache.
Watu wa kigoma asilia wamehamia kutoka nchi za jirani karne nyingi zilizopita.
Watu wa kigoma kiasilia they are migratory people.Hivyo wamesambaa mikoa mingi.
Watu wa kigoma ni makabila ya kwanza kuanzisha miji hapa nchini kuanzia kigoma ujiji, tabora mjini, mwanza mjini, Dar, morogoro nk.
Watu wa kigoma ni kati ya makabila yalioweza kumiliki viwanja mapema zaidi, kuanzia kariakoo, magomeni, tandika nk ambapo nyinyi mlikuwa bado mnawinda ngedere huko kijinini kwenu.
Watu wa kigoma waliupokea ustaarabu mapema zaidi kuliko wasukuma, wanyamwezi nk.Watu wa kigoma walielimika mapema zaidi kuliko makabila mengi(elimu ya kiarabu).
Watu wa kigoma walikipokea kiswahili mapema zaidi ya makabila mengi tz na ndio lugha kuu pale sio kama mbeya hadi mjini kinyakyusa na kisafa kwa kwenda mbele.Watu wa kigoma(manyema) are travellers, ni watu wanaosafiri na wametawanyika nchi nyingi na mikoa mingi kuliko mnavyofahamu.
Watu wakigoma nii watu wa mabadiliko katika nyakati.
Watu wa kigoma ni watu wanaojifunza na wadadisi wa mambo na hutaka kuyajua kiundani.
Watu wa kigoma ndio watu wa kwanza kupata elimu ya kimazingira ya majini na uvuvi.
Watu wa kigoma ni watu wanaojitoa mhanga kubadili hali zao kiuchumi bila ya msaada wa serikali.
Watu wa kigoma ndio watu wanaomiliki maduka mengi mikoa ya kanda ya ziwa.
Watu wa kigoma ndio watu walioitawala biashara ya masoko kuanzia kariakoo na mikoa ya kanda ya ziwa(ikumbukwe kigoma huzalisha kwa wingi zaidi dagaa, maharage, tangawizi, mawese, sabuni, mihogo, na madini pemba nk).
Watu wa kigoma wengi tu wamesoma pengine kuwazidi makabila mengi japo serikali iliwatenga kwa miaka mingi kutokana na mrengo wa kidini.
Watu wa kigoma ndio wajanja wa mjini utawakuta magomeni, kariakoo, ilala tandika nk.wanapiga dili
Watu wa kigoma ni watu wenye vipaji vikubwa vya sanaa hadi yule wa ulaya kwao ujiji.
Watu wa kigoma wanastrago kwa nguvu yao zaidi kuliko favor za serikali.
Watu wa kigoma uchumi wao ulisimama kutokana na vurugu za kivita za nchi jirani,
Watu wa kigoma ndio watu wa kwanza kuleta mageuzi nchini na mbunge wa kwanza wa upinzani ambae alikuwa Dr.Amani Kaburu.Baadae majimbo yote yalikuwa ya upinzani(sio jambo dogo ila kwa mtazamo wako finyu ni jambo dogo).
Watu wa kigoma walitengwa na serikali ya ccm kwa miaka mingi ikiamini eti sio watanzania ni wakongo na warundi, rejea kesi ya kakobe.Hivyo serikali hii haikujenga miundombinu mpaka awamu ya JK na Magu, lami na SGR (Thanks kwao).
Watu wa kigoma ndio walima tumbaku wakubwa urambo nk.
Watu wa kigoma ni watunza mazingira wakubwa kuliko makabila mengi hasa nyanda za juu kusini na kati ambao huchoma hovyo misitu, walichoma mpaka mlima Rungwe ambao unahistoria.
Kigoma ni kati ya mji unaovutia kimazingira it is very green.Hivyo acha kupotosha.
Watu wa kigoma ndio watu waliotunza mapori yao na wanyama wao tangu enzi za mababu sasa wameingia "fisi" na man'gombe yao baada ya kuharibu kwao.
Nimalizie kwa kusema watu wa kigoma wanachakula cha kujitosheleza na kulisha mikoa ya jirani pamoja na kutengwa na kubezwa tunailisha Tabora, Mwanza, Shinyanga, Singida Dar, na hawajawahi kumbwa na njaa tangu dunia ianze na hii hupelea kuwa na afya nguvu, mvuto wa sura na maumbile yasiofubaa kama makabila mengi.
Mwisho usipende kuwabeza watu wa kigoma wanahistoria kubwa katika nchi hii pengine kuliko kwenu huko na huwafahamu vya kutosha uliza ndugu ujibiwe usikurupuke.Karibu kwa hoja
ww usibishe wkt m hapa n mkaaji!twn pale maduka makubwa kama ya cm na tv saa kumi na mbil n mwisho,afi huenda nakuelezea kumbe hata hujawai kufika!hyo n kazi nmekupa katafute majibu kwa wanaoijua mwanza,na kwny hilo la kuniulza utajuaje kua mkoa umeendelea au lah!jaribu lu iconsult ofice ya takwimu utakuja na majibu yalijirdhisha zaid ila jua kua mwanza kwny mikoa maskin inashiklia namb 5Ndo nakwambia hv kote huko wanapima mafuta ya vibaba toka kwenye ndoo hyo ya elf 60 Na 70, na umedai maduka yote yanafungwa sa 12 jion na ukasema miji mingine maduka yanafunguliwa Saa 12 mpak kuchee nitajie hzo sehemu , na pia Nipe calculation zilizotumika kuonyesha hii sehemu ni maskini na hii sehemu ni tajir, na pia leta takwimu ya miji ambayo makampuni mengi yanakimbilia kuwekeza, taasisi binafsi e.g banks , bila kusahau ukusanyaji wa mapato kwa miji hapa tz..
Ndo mana nikakuuliza unajua calculation zilizofanyika mpak Mwanza ikawa ya tano, kumbe hujui umekalili tuu, Kilimanjaro ni ya pili watu wake kuwa na maisha bora lakn investor wengi wanakimbilia kuwekeza Mwanza ambayo unadai ni maskin, na umedai wana purchasing power ndogo....ww usibishe wkt m hapa n mkaaji!twn pale maduka makubwa kama ya cm na tv saa kumi na mbil n mwisho,afi huenda nakuelezea kumbe hata hujawai kufika!hyo n kazi nmekupa katafute majibu kwa wanaoijua mwanza,na kwny hilo la kuniulza utajuaje kua mkoa umeendelea au lah!jaribu lu iconsult ofice ya takwimu utakuja na majibu yalijirdhisha zaid ila jua kua mwanza kwny mikoa maskin inashiklia namb 5
acha povuu jaribu kukubaliana na takwimu zilizotolewa,unanitolea povu wkt ndo hali halisi unakosea sanaa,na usitake kukariri kua wote tz hii wanish kwa mafuta ya kupma kwa kibaba!inaonekana uelew wako n mdogo na umeuchanganya na ushabiki,ebu toa tu mfano wa uwekejaz mkubwa uliofanyika mwanza kama c hawa wavuvi wa dagaa mwalon huko,inaoneka ulitoka mwanza kitambo na masuala ya kuhusiana na mwnza unaelezewa kweny cm na wazazi wakoNdo mana nikakuuliza unajua calculation zilizofanyika mpak Mwanza ikawa ya tano, kumbe hujui umekalili tuu, Kilimanjaro ni ya pili watu wake kuwa na maisha bora lakn investor wengi wanakimbilia kuwekeza Mwanza ambayo unadai ni maskin, na umedai wana purchasing power ndogo....
We ni muongo na mnafiki, umedai maduka yote sa hv umekimbilia maduka makubwa, labda unitajie ni wapi hapo ambapo maduka makubwa ya simu yanauza usiku kucha?? Na penyewe hujui unaongea kishabiki tuu,
Umedai Mwanza wanapima mafuta mpak ya mia na umeshangaa kuona hvyo, we umezaliwa wapi Tanzania hii ambapo hawapimi mafuta kwa kibaba, na kibaba kidog kinaanzia sh mia, Tanzania nzima 80% ya watu wanapima mafuta kwa vibaba, acha kujifanya kuidharau Mwanza,.....Leo ukitaja nchi tajir Duniani huwezi kuitaja swizland lakn ndo nchi ya pili wanachi wake kuwa na maisha bora, marekani ni ya Tisa huko, wakat Marekani ni ya kwanza kiuchumi....na hakuna mwekezaji mkubwa atayeacha kuwekeza USA aende kuwekeza swizeland, Mwanza ndo mkoa wa pili baada ya Dsm kwa kuingiza pato la Taifa.....ukiona kero sana kuishi Mwanza rudi kwenu Namtumbo,
Naongea na form one hapa.....hujui chochote , Mwanza hakuna uwekezaji mkubwa??mkuu
acha povuu jaribu kukubaliana na takwimu zilizotolewa,unanitolea povu wkt ndo hali halisi unakosea sanaa,na usitake kukariri kua wote tz hii wanish kwa mafuta ya kupma kwa kibaba!inaonekana uelew wako n mdogo na umeuchanganya na ushabiki,ebu toa tu mfano wa uwekejaz mkubwa uliofanyika mwanza kama c hawa wavuvi wa dagaa mwalon huko,inaoneka ulitoka mwanza kitambo na masuala ya kuhusiana na mwnza unaelezewa kweny cm na wazazi wako
Zitto amejenga, naomba kumteteaUkifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.
Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.
Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.
Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Kumbe utafiti wa Kakonko na Kibondo!!???nilikuwa kwenye project kule kakonko na kibondo sasa nikatafuta vijana kadhaa nikawafanyia utafiti ndipo wakanambia hivyo n wenyeji
Hivi unaizungumzia kigoma ipi!!??? Hizo nyumba za nyasi umeziona wewe peke yako!?kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfano
kigoma vijumba vingi n nyasi je serkl ije iwajengee za bati?
We kweli ndumku!we nimeamini ni juha sina haja ya kubishana na we
wenyeji wanasema ushirikina n janga kuu we mnywa ugoro unabisha wahi mirembe haraka upate dozi
Toka huko kijijini nenda mjini.Nipo huku na ninyumbani inanisikitisha
Oooh kumbe unazungumzia vijiji? Vipi kuhusu vijiji vya Dodoma?yani nilivoenda Kigoma nilidhani nimeingia nchi nyingine...ukienda vjijini geografia imekaa vibbbaya
.yani ukitoka kijiji kimoja kwenda kingine ni hadi urudi barabara kuu ...halafu kuna rasilimali lkn watu hawawendi kuwekeza..miundo mbinu mibovuuu....Yyyani.
Swala la umeme na maji kigoma mjini imepiga hatua kuliko mikoa mingi.kweli ni nyasi tupu hakuna umeme
Upite Vijiji vya Dodoma pia ulinganishe.mm nilikua kule manyovu,buhigwe kakonko duh utadhani karne ya 3
Maeneo yote hasa vijijini kuna hiyo kasumba. Mikoa yote katika nchi hii imeendelea maeneo ya mijini tu. Kigoma pia imepia hatua pale mjini.Kwakweli watu wa kigoma tuna mitazamo hasi sana...
Ukimwaga mchanga na tofali unarogwa, ukipata mazao mengi unarogwa, ukisoma unarogwa...
Uchawi,roho mbaya na wivu ndio vinatudumaza.