Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Huyu jamaa cjui anazungumzia kigoma ipi Hasa na huo ujenzi cjajua ni wa aina gani Maghorofa, nyumba za makaz au viwanda?
 
Ishiiii kwaiyo mtoa thread unawasuta,unawambia,unawakumbusha, una aje ili wakija wajue unachomaanisha????
 
Kumbe ?,la elimu umeliacha? Rafiki maendeleo ni complex concept, kila Mkoa nchi hii unakitu unauzidi Mkoa mwingine, tena kikubwa. Kama maendeleo upande wa miondombinu inaweza kuwa kweli,je jukumu la miondombinu lipo chini ya serikali. Mfano Sera ya viwanda wew unahisi inainufaisha mikoa yote?
Mimi nafikiri ubora wa makazi Mkoa tajwa ,morogoro, bukoba, ni miongoni mwa mikoa ambayo vijiji vyake vimeendelea sana,ni nadra Kigoma kukuta Kijiji hakina Zahanati,shule, soko, pia hata maeneo ya kutama EPL, la liga nk, ukilinganisha na mikoa ya kanda ya kati. Mimi ninachoamini uchawi au sifa ya ushirikina ni ya sehemu zote tz, kuhusu kwamba uchawi unakwamisha maendeleo sio kweli haya ni Mawazo yanayotokana na kupandikizwa na mifumo elimu magharibi. Fanya utafiti ujue kuwa uchawi uone ulivyotapakaa duniani,bado nchi zinaendelea. Mifumo ya kukataa mwingine asiendelee ni mifumo ya kibepari. Kwenye ubepari kumua mshindani wako kiichumi na vichecheo vyake ni jambo linalofanywa sana,je, huu si uchawi?
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Ni kweli Kigoma hawajengi,hata Wageni wanaoenda kikazi wanapata shida kupanga nyumba.Yaaani ni mtihani kupata nyumba standard ya kuweza kupanga.Nafikiri dhana ya uchawi bado imeshika kasi.Nimetembelea almost maeneo yote,kuna maeneo wenyeji wanakwambia be careful hata kula,kushika vitu hovyo umeeenda.Ki ukweli utendaji kazi Kigoma ni shughuli pevu Utakutana na Wabishi,Vigagula mpaka utatamani kuresign kazi.
 
Hiyo ndio Kazi wanayoijua na wanajisifia sana kwa hilo
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
tumekuelewa mkuu
 
Acheni kuwa mnapenda kuongea matusi na kashfa za hovyo kwenye maeneo ya watu. Kiasi unachoelekea unataka kusema kule wanaishi wanyama.

Ni wapi uliona pamefika hapo eti watu ndo walijenga? na unalazimishwa na nani kwenda huko wewe usipopapenda? Wewe huko kwenu hakuna watu kutoa mikoa mingine wamejenga huko? Acheni ubaguzi wenu na dharau zenu, grow up!
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
sasa wabadilike, hawa wengi wamekimbilia Dar lakini hawarudi kwao, wajifunze kwa wachagga, Jumba la Mengi hakuna mtanzania aliyejenga vile, tena kijijini, ila mzee wetu ndio akitaka kula raha anakwenda na mke wake kule
 
Ukiwaambia hivyo watasema wachaga wanajidai
 
Ni kweli Kigoma hawajengi,hata Wageni wanaoenda kikazi wanapata shida kupanga nyumba.Yaaani ni mtihani kupata nyumba standard ya kuweza kupanga.Nafikiri dhana ya uchawi bado imeshika kasi.Nimetembelea almost maeneo yote,kuna maeneo wenyeji wanakwambia be careful hata kula,kushika vitu hovyo umeeenda.Ki ukweli utendaji kazi Kigoma ni shughuli pevu Utakutana na Wabishi,Vigagula mpaka utatamani kuresign kazi.
Umenikumbusha siku moja naangalia taarifa ya habari, kuna walimu walipangiwa kituo kigoma kufika tu wakaanza kulia, vumbi kila kona nyumba zote za nyasi, vitoto vinakimbia vikiwa uchi mmoja akawa anahojiwa huku analia anasema anajuta kusomea ualimu
 
siyo walimu tu, hata majaji wenzangu, mahakimu wakipangiwa huko wanalia kwanza, thrn ndio wanafanya kazi, huko kuna watu wanaitwa TELEZA
 
Kuna mama,anasema alipitiwa na teleza Mara tatu.saiv,analala na panga
 
  • Thanks
Reactions: wax
Kuna mama,anasema alipitiwa na teleza Mara tatu.saiv,analala na panga
 
Kuna mama,anasema alipitiwa na teleza Mara tatu.saiv,analala na panga
 
Ila kweli, kwa uchawi hawa jamaa ni hataree! Mbaya zaidi ukioa huko umekwishaaa! Na ushahidi ninao.
 
Back
Top Bottom