kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,753
Sababu huijuwi kwani?orodha ya mikoa maskini kW mujibu wa wizara ya fedha
1_kigoma
2_geita
3_kagera
4_singida
5_mwanza
Sababu huijuwi kwani?orodha ya mikoa maskini kW mujibu wa wizara ya fedha
1_kigoma
2_geita
3_kagera
4_singida
5_mwanza
kwahiyo zito peke yake ndiye mwenye uwezo wakuijenga KIGOMA yote ..aiseee nawew waitwa msomiMbona zitto kajenga na anadunda mpaka leo
na mwanza nayo ipo ..mwanza c jiji !??Sababu huijuwi kwani?
na mwanza nayo ipo ..mwanza c jiji !??Sababu huijuwi kwani?
Sio mkulu mbembe? Aliechukua kura zao na KUNUNUA wabunge wao,Haya diamond na alkiba kama sample salam ziwafikie.
Hujawahi kuishi Newala umekaririshwa.mi nimekaa mikoa mingi sana tena mazingira ya vijijin ..huko kuna viwilaya vinafanana na kuzidiwa na kata au tarafa za wilaya ya Newala.. usikariri.acha Hadith za afu ulela ulela.mtwara haina tofauti na hii mikoa miwili,mtwara kuna wilaya inaitwa newala
ni mwisho hapo...maendeleo is equal to zero
Kuna kitu nmegundua, thread za mikoa humu jf haziendi sawa bila kuhusisha wahaya?soo saad...najua mnajua wazi juu ya gap walowazidi na kujisifia so mnatk kuwashusha psychologicallyHujawahi kuishi Newala umekaririshwa.mi nimekaa mikoa mingi sana tena mazingira ya vijijin ..huko kuna viwilaya vinafanana na kuzidiwa na kata au tarafa za wilaya ya Newala.. usikariri.acha Hadith za afu ulela ulela.
Ivi nyie watu mmefika Kigoma kweli! Kama ndio kigoma maeneo yapi? Mnavyoviandika havina ukweli wowote haya ni mawazo ya kifashisti, mleta mada tuambie mkoa unaotoka kwanza alafu tuanzie hapo uzuri tumezunguka karibu nchi nzima hakuna sehemu unayiweza kutudanganya, huko unapopasifua labda utakuwa unasifia kwa sababu ya road network lakini kwa structure sijui kama utakuwa sahihi kuhusu ushirikina kila sehemu upo mawazo kama haya ni ya ajabu kuwahi kutokea kwenye fikra za watu wanaojitambua lakini nisiongee sana huu uzi nahisi utakuwa umeanzisha na mtu wa kidato cha kwanza au four feliasio kila kitu n kuilaumu serikali
asili ya mkoa huo n uchawi wa kijinga
kule ukifanya maendeleo unalogwa je serikali inahusikaje?acheni uzwazwa
Hivi watu mliofika Kigoma na mtwara , wapi penye afdhali?Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.
Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.
Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.
Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Umaskini upi unaouongelea mkuu, kwa maisha ya mtu mmoja mmoja waha wapo vzr labda hujui hilo kila angle utawakuta, we unaongelea umaskini kigoma watu wapo Kasulu wana export bidhaa kutoka ughaibuni, nenda kaangalie bei za bidhaa kule kama ni tofauti na DSM uje uniambiekumbe ndio maana mtabaki maskini
hao wanaoenda kutafuta fursa sehem nyengine manake hawaridhiki na hela wana kiu ya kutafuta hela
ndio maana tz nzima utawakuta wamewekeza,kwanza kule kwao wanahakikisha wamewekeza kwanza
ngoja niluulize je unapoona wazungu huku tz n kwamba tz n tajir kuliko hizo nchi za wazungu?
mmebweteka ndio maana mtaishia kuwa maskini hivyohivyo
kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfano
kigoma vijumba vingi n nyasi je serkl ije iwajengee za bati?
Acha ujinga wewe nenda kajionee mji ulivyo sasa iv watu wananunua viwanja hadi mil.200 alafu unadai umepata pesa unaogopa kununuakiwanja kigoma! Utakuwa limbukeni wewe,lkn kigoma ni janga..m mwenyewe nimepata vijisenti vyangu natamani nirudi home nikanunue kiwanja lkn naogopa maana nahis ntakuwa nimejikatia tiketi ya kifo...japo mamb hayo yamepungua lkn kigoma kuna ushirikina sana
Labda Kigoma unayoisema unaishi peke yakomkuu hupajui vizuri kigoma....anyway acha niendelee a ujinga wangu...maana ndo ulinzi wangu
Nimeanza kuwajua mnchoongea, sijui kama kuna ukweli kwa hikikweli ni nyasi tupu hakuna umeme
Sasa wa kulaumiwa hapo ni nani?Hata grid ya taifa hakuna
Kagera tunajenga bnaKigoma na kagera hii mikoa ni shida!!
Hatuna ubaguzi huokagera wanaishi maisha ya kizamani sana..hakuna mgeni anaweza kwenda akafungua hata biashara ya maana...utabaki na duka lako nobody bother to come n buy anything!wazawa tu ndio wanaweza
Unamaanisha kwetu kagera ni washirikina pia?n kweli kule umaskkini umetamalaki,hawana tofauti kubwa na ndgu zao wa kagera