Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Tatizo ni ubishi na kuendekeza upinzani karne na karne watajibeba. Naona CCM hawaijui vizuri
 
Bado najaribu kutafakari uhusiano wa chama cha kijani na umaskini uliokithiri kwa mikoa tajwa hapo juu...
Watu mara nyingi huwa wanaangalia mijini tu ndiyo wanapima maendeleo ya mkoa naanza na mwanza ukiwa katikati ya mji ni kweli pameendelea ila jumlisha na wilaya zake ni shida arusha na kwenyewe ni yaleyale longido monduli huko manyara na kwenyewe ni shida mtwara ambaye ndiyo ni kinara wa taifa kwa kipato cha kila mtu wako vizuri ila maisha wanayoishi ni shida wana pesa ila hawajui wafanye nini nahitimisha kwa kusema kama nchi bado hatujatatua kero za mikoa yote kila mkoa una changamoto zake kama kuna mkoa ambao umejitosheleza kwa kila kitu kuanzia shule barabara hospitali maji na kadhalika haupo huduma nyingi zinapatikana mijini tu ukiingia huko wilayani wananchi wana hali ngumu sana ya huduma za kijamii
 
Kama wananchi hawataki maendeleo serikali haina wajibu wa kuyapeleka
 
kuna mikoa n ya kipekee
mfano Kilimanjaro,vijijin huduma zote zipo maji shule zahanati
kule shule zingine majengo hayana wanafunz maana n meng sana
pia kuna kampeni ya kila kijiji zahanati
kule ni jambo LA kawaida kukuta magorofa yamejengwa vijijin huko kwenye migomba
na makaz ya kule n ya kisasa majumba ya kifahari vijijin lami kila wilaya ukiwa kijijin hutaman kwenda mjin KBS
watu waliowahi kufika Kilimanjaro watakubaliana na mm
 
Muulize ni mkoa gani ambao watu wake wanaongoza kwa kuukimbia na kwenda kuangalia fursa kwenye mikoa mingine mikoa yote tanzania haina wa kucheka mkoa mwingine changamoto zinafanana
kumbe ndio maana mtabaki maskini
hao wanaoenda kutafuta fursa sehem nyengine manake hawaridhiki na hela wana kiu ya kutafuta hela
ndio maana tz nzima utawakuta wamewekeza,kwanza kule kwao wanahakikisha wamewekeza kwanza
ngoja niluulize je unapoona wazungu huku tz n kwamba tz n tajir kuliko hizo nchi za wazungu?
mmebweteka ndio maana mtaishia kuwa maskini hivyohivyo
 
ulilogwa marangapi mkuu ulipofanya hayo maendeleo na ulifanyajefanyaje kujikomboa kutoka huo ulozi
asante
nilikuwa kwenye project kule kakonko na kibondo sasa nikatafuta vijana kadhaa nikawafanyia utafiti ndipo wakanambia hivyo n wenyeji
 
Hivi tunapopita Dodoma na singida mbona tunaona Nyumba za udongo juu na chini, hayo yote hamyaoni mmeona kagera na kigoma tu? Au Mna lingine labda
hiyo n takwimu ya wizara acha povu
takwimu hupingwa kwa takwimu
 
Kama inefikia hatua hata Mwanza ninayojua ndoo jiji la pili bongo lakini inazidiwa na Katavi,Morohoro,Tabora,Songwe,Pwani,Ruvuma ,Lindi ,Mtwara n.k basi hizo takwimu ziko vzr sana ,acha mm npite tu
kuna tofauti kubwa kat ya mikoa inayochangia pato (GDP) na mikoa maskini
mwanza n ya pili kuchangia pato ila ni ya 5 kwa umaskini
Kilimanjaro n ya 9, kuchangia ila n mkoa wa 2 kwa wananchi wake kuwa na maisha bora
hii n kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha
wewe unadhani takwimu wanaangaliaga mjini tu? hapo n takwimu ya mkoa mzima sio uone pale mjini tu alafu uje huku kubisha
 
Kama ni hivyo hakuna haki ya kuwaponda wana Kigoma eti hawaleti maendeleo kwao na wengine kuwalaumu eti Kigoma hakuna lami. Ni kuwaonea tu.

Vv
kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfano
kigoma vijumba vingi n nyasi je serkl ije iwajengee za bati?
 
kumbe uliambiwa? nilijua ulirogwa
ili ututhibitishie unayosema maana unayakazia kama umewahi kurogwa vile
wewe kweli n kilaza
kwan ili ujue kitu lazma kikutokee?
hujui tafiti ndio msingi wa kila kitu?
mm nilifanya simple survey kwa wenyeji
sasa kama wenyeji walikiri wazi sembuse we chakubanga?
 
wewe kweli n kilaza
kwan ili ujue kitu lazma kikutokee?
hujui tafiti ndio msingi wa kila kitu?
mm nilifanya simple survey kwa wenyeji
sasa kama wenyeji walikiri wazi sembuse we chakubanga?
tafiti ujinga? eti simple survey!!! sample ya wanywa gongo itakuambia kitu gani we mtafiti uchwara
 
Tulipopata uhuru tulibaini adui maradhi,ujinga na umaskini je tuliwekeza nini katika kila mkoa kuondoa adha hii...kuna kitu kinatutafuna nchi hii nacho ni ubinafsi...kama vile tunaishi milele...kila mmoja angewajibika kwa nafasi yake tusingekuwa na mikoa maskini....soon dodoma itakuwa mkoa tajiri kuliko yote...hii ina maana hata kigoma au kagera yumkini yaweza kuwa tajiri kwa hatua hizihizi....adha ya wakimbizi na nchi jirani kutokutulia zimeharibu mahusiano ya muda mrefu ya kibiashara kigoma ...sishangai kuona mikoa mingine kusonga mbele kwa uwekezaji wa kiserikali...serikali inavipaumbele vyake ole wako usiwe sehemu yake utajuta kuzaliwa kigoma.
 
lkn kigoma ni janga..m mwenyewe nimepata vijisenti vyangu natamani nirudi home nikanunue kiwanja lkn naogopa maana nahis ntakuwa nimejikatia tiketi ya kifo...japo mamb hayo yamepungua lkn kigoma kuna ushirikina sana
 
acha ujinga we muha wote walioko huko waliojenga wamerogwa mara ngapi?
 
Back
Top Bottom