Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

lkn kigoma ni janga..m mwenyewe nimepata vijisenti vyangu natamani nirudi home nikanunue kiwanja lkn naogopa maana nahis ntakuwa nimejikatia tiketi ya kifo...japo mamb hayo yamepungua lkn kigoma kuna ushirikina sana
Pole sana mkuu...
 
Na wanapenda masifa hao wakigoma wana majivuno jaman
 
Mtoa maada hafikirii kwa kina juu ya maendeleo yanayoletwa na watu weyewe wa eneo husika na yale yanayoletwa na Serikali! Hatahivyo, sioni kama kuna Mkoa usiyo na wachawi na washirikina. Ni fikra duni kusema, hauwezi kurudi nyumbani/Mkoani kwenu eti kwa sababu ya wachawi/washirikina wkt kila mahali wametapakaa hapa Africa na pengine Ulimwenguni kote. Jadilini kwa kina aina ya umasikini wa mkoa unaosababishwa na watu wenyewe na kwa hali halisi na ule umasikini unaosababishwa na uongozi mbovu wa Serikali husika
 
Mtoa maada hafikirii kwa kina juu ya maendeleo yanayoletwa na watu weyewe wa eneo husika na yale yanayoletwa na Serikali! Hatahivyo, sioni kama kuna Mkoa usiyo na wachawi na washirikina. Ni fikra duni kusema, hauwezi kurudi nyumbani/Mkoani kwenu eti kwa sababu ya wachawi/washirikina wkt kila mahali wametapakaa hapa Africa na pengine Ulimwenguni kote. Jadilini kwa kina aina ya umasikini wa mkoa unaosababishwa na watu wenyewe na kwa hali halisi na ule umasikini unaosababishwa na uongozi mbovu wa Serikali husika
sii kweli
mfano kigoma nyumba za nyasi n nyingi sana na za hovyo je hapo serikali iende ikawajengee?
acheni kulialia na serikali
hebu nendeni Kilimanjaro muone jinsi wananchi wa kule wanavyochakarika
michango ya maendeleo wanatoa fasta
ulishawah sikia kilimnjar INA uhaba wa hospitali waalimu au shule? jiulize why
kule machame wananchi kijiji Fulani wamechanga hela wanataka waweke lami kijini chao sasa hapo unadhan maendeleo yanaletwa na serikali?
endeleen kuisubiri serikali itawajengea nyumba za bati
 
Muulize ni mkoa gani ambao watu wake wanaongoza kwa kuukimbia na kwenda kuangalia fursa kwenye mikoa mingine mikoa yote tanzania haina wa kucheka mkoa mwingine changamoto zinafanana
hebu na mm nikuulize kidgo
VP wachina wamejaa sana tz wanafanya shughuli kama umachinga nk
je tz n tajiri kuliko China?
 
we nimeamini ni **** sina haja ya kubishana na we
wenyeji wanasema ushirikina n janga kuu we mnywa ugoro unabisha wahi mirembe haraka upate dozi
kama ulitoka chuo na ukatumia methodology ulizojifunza huko ukakusanya sample ya wavuta bangi na wanywa gongo kama wewe ulitegemea uje na statistical data za maana hapa zaidi ya kubwabwaja bila ushahidi? mawazo kama hayo ya kwako yaliyo jazwa tope la ujinga wa kuwaza mambo ya kichawi kama wewe ulivyo

kwakweli ni janga la kitaifa.
 
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
ila kigoma ni pabaya jamani hata mi nikishaenda kikazi...hamna maendeleo kabisaa.
ukienda wajua tu wewe ni mgeni sio wakule na wanashangaa kabisa.
 
yani nilivoenda Kigoma nilidhani nimeingia nchi nyingine...ukienda vjijini geografia imekaa vibbbaya
.yani ukitoka kijiji kimoja kwenda kingine ni hadi urudi barabara kuu ...halafu kuna rasilimali lkn watu hawawendi kuwekeza..miundo mbinu mibovuuu....Yyyani.
 
Back
Top Bottom