Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Watu mara nyingi huwa wanaangalia mijini tu ndiyo wanapima maendeleo ya mkoa naanza na mwanza ukiwa katikati ya mji ni kweli pameendelea ila jumlisha na wilaya zake ni shida arusha na kwenyewe ni yaleyale longido monduli huko manyara na kwenyewe ni shida mtwara ambaye ndiyo ni kinara wa taifa kwa kipato cha kila mtu wako vizuri ila maisha wanayoishi ni shida wana pesa ila hawajui wafanye nini nahitimisha kwa kusema kama nchi bado hatujatatua kero za mikoa yote kila mkoa una changamoto zake kama kuna mkoa ambao umejitosheleza kwa kila kitu kuanzia shule barabara hospitali maji na kadhalika haupo huduma nyingi zinapatikana mijini tu ukiingia huko wilayani wananchi wana hali ngumu sana ya huduma za kijamii
Mkuu no research no right to speak!
Mtoa uzi hajasema kuna mkoa umekamilika, isipokuwa amejaribu tu kufanya ulinganisho;
Mbona vitu viko wazi mkuu huwezi kulinganisha Lindi na Arusha, Kilimanjaro na Ruvuma, Kagera na Mwanza au Singida na Mbeya.
Najaribu kutafakari bandari ya mtwara ingekuwa Mbeya ingekuwaje? Nakubali kwamba serikali ina mchango ktk kudhoofisha maendeleo ktk baadhi ya maeneo mfano mkoa wa Katavi kuna mbuga kuuuubwa na kungeweza kuwa kitovu cha utalii tz lkn miundombinu ni hafifu (hili ni tatizo la uongozi) ila wananchi ndio wenye mchango mkubwa, hata nyumba binafsi kweli serikali ndio iwajengee?
Shame!!
 
Ndio mana kuna NHC sioni ajabu wananchi kujengewa nyumba binafsi.ndo mana wanasema tembea uone,hujui kuwa south africa wanajengea watu wao nyumba binafsi na kuwapa?
Wala sio kitu cha ajabu kwa utajiri wa madini,bahari,lakes n.k wanatakiwa wazitumie kodi kufanya vitu kama hivyo sema tu hatujawahi kupata kiongozi mzalendo.na kwasababu hiyo ni kama umezoea hali ya kuonewa.

Serikali nyingi za afrika ziadopt mambo mengi ya nchi zilizoendelea bila kuangalia inequality ya wananchi wake nikimaanisha wenzetu unakuta illetracy level ni almost zero coz elimu yao bure so kila mwananchi ana uwezo wa kupambana mana keshapewa silaha.
Sasa sisi nchi zetu wananchi wengi hawana elimu sababu ya maisha duni na hata hao wanaojifanya kutoa elimu bure bado ni hafifu.so ingekuwa busara viongozi kutoadopt mifumo ya walioendelea kwa kila kitu mana inaumiza tu wananchi bila sababu.
 
Uchawi uchawi tuuu... Yani naskia wanaigeria wanakuja kuchukua UCHAWI Kigoma.
 
Ivi nyie watu mmefika Kigoma kweli! Kama ndio kigoma maeneo yapi? Mnavyoviandika havina ukweli wowote haya ni mawazo ya kifashisti, mleta mada tuambie mkoa unaotoka kwanza alafu tuanzie hapo uzuri tumezunguka karibu nchi nzima hakuna sehemu unayiweza kutudanganya, huko unapopasifua labda utakuwa unasifia kwa sababu ya road network lakini kwa structure sijui kama utakuwa sahihi kuhusu ushirikina kila sehemu upo mawazo kama haya ni ya ajabu kuwahi kutokea kwenye fikra za watu wanaojitambua lakini nisiongee sana huu uzi nahisi utakuwa umeanzisha na mtu wa kidato cha kwanza au four felia
well said
 
Mleta mada hajitambui na ni miongoni mwa watanzania wengi ambao akili zao zimekaa kitumwatumwa.
Miaka michache iliyopita mtwara na lindi ilikuwa ni mikoa ya ajabu. Kuna kipindi ilikuwa kutoka dar mpaka mtwara si chini ya siku mbili.lakini sasa hivi ni mkoa ambao unakuja juu kwa kasi na hii yote ni kutokana na serikali kupafungua kwa barabara.
Ukisema kigoma haiendelei kwa sabab ya uchawi.
Jiulize kwanza zaid ya barabara ambayo ndo inakalibia kamilishwa sasa hivi kulikuwa na njia nyingine ya kutoka kigoma?
Je mfuko cement moshi sasa hivi unauzwa si zaid ya 11000 je una habari kigoma ni zaid ya 22000?
Je kuna umeme wa kutosha?
Je idadi ya shule za serikali zilizopo moshi mpaka mwaka jana zinaendana na moshi au arusha?
Je huko arusha au moshi ishatokea mkakutana na kero ya wakimbizi? Mfano mzuri miaka ya 2006 kakonko hasa kasanda iliwahi fikia hatua majambazi wakivamia kwa jirani kesho unajua waje kwenu je moshi ujambazi wa hivo ushawahi tokea?
Je unajua kigoma iko kwenye ukanda wa tetemeko la ardhi kuna limitation ya ujenz.
Je bandar na reli ambazo zilikuwa ndo kama tegemeo zinafanya kazi kwa ufanisi.
Kuhusu ubishi wa waha eti ndo kigezo cha kukosa maendeleo. Hivi unajua almost ya unga wa sembe unaokula dar sasa hivi most of them ni waha. Je unajua almost ya viwanda vidogovidogo vinavyoanzishwa sasa hivi wengi wao ni hao unaosema ni wabishi?
Am proud to be a muha maana huwa hatuna akili za kitumwatumwa. Huwa nafikiria kama kwa muda wa miaka 50 hatuweza walau hata kuwekewa mazingira ya kunyanyuka kiuchumi lakin je tungewekewa walau hata miundombinu kama ya huko moshi tungekuwa wapi? Kumbuka 90"s kutoka dar mpaka nairobi ilikuwa ni mwendo wa masaa kumi na mbili na zaidi km900 lakin kutoka tabora mpaka kigoma kwa treni ilikuwa ni masaa kumi mpaka kumi na mbili na hakuna km 600 kwa bus kupitia nyakanazi siku mbili
 
Kuhusiana na uchawi kigoma hii ni ajabu kweli ndo maana wanaume wa dar mnatukanwa, maana ukimtoa dar ukampeleka mbeya utasikia siwez wekeza mbeya sabab wasafwa hawapendi mgeni aendelee akienda mwanza,tabora,dodoma utasikia kesi kama hizo.mbona mchina unamkuta mpaka huko murufyiti anakula lowe?
 
Kuhusu shule moshi ni wenyeji walihamasishana wakajenga. Kigoma walimu wanajikuta wamelazwa nje sasa unategemea nn? Ukihamasisha watu wanaplan kukuloga tu.
 
sii kweli
mfano kigoma nyumba za nyasi n nyingi sana na za hovyo je hapo serikali iende ikawajengee?
acheni kulialia na serikali
hebu nendeni Kilimanjaro muone jinsi wananchi wa kule wanavyochakarika
michango ya maendeleo wanatoa fasta
ulishawah sikia kilimnjar INA uhaba wa hospitali waalimu au shule? jiulize why
kule machame wananchi kijiji Fulani wamechanga hela wanataka waweke lami kijini chao sasa hapo unadhan maendeleo yanaletwa na serikali?
endeleen kuisubiri serikali itawajengea nyumba za bati
Kwa habari ya Nyumba nyingi za nyasi nadhani hiyo ni Kigoma ya miaka mingi iliyopita kwa sasa Nyumba nyingi ni za matofali ya kuchoma na kuezekwa kwa bati.
 
Kama bado mnaamini katika uchawi nyie hamna kitu. By the way moja ya indicator ya umaskini ni kutojitosheleza kwa chakula. Mmewahi kusikia mikoa ya Kigoma na Kagera wakilia njaa?
By the way kigoma tunaipenda ikiwa vile ilivyo! somewhere to chill!siyo kila mahali tuwe na maflyover,magorofa blablah nyiiiiingi,tukienda home we eat fresh fish, veggies,kuku asili,ntole hadi raha kumoyo. Acha wengine wajenge sisi watuache hivvihivi na mawese yetu.
 
Kuhusiana na uchawi kigoma hii ni ajabu kweli ndo maana wanaume wa dar mnatukanwa, maana ukimtoa dar ukampeleka mbeya utasikia siwez wekeza mbeya sabab wasafwa hawapendi mgeni aendelee akienda mwanza,tabora,dodoma utasikia kesi kama hizo.mbona mchina unamkuta mpaka huko murufyiti anakula lowe?

Mkuu mimi pia ni mzaliwa wa kanda hiyo. Our challenges are almost similar. Lets take it as a challenge. Nimeishi Kibondo, Kasulu, Ujiji nk. Kigoma bado iko nyuma hilo halipingiki. Tena nyuma sana! You can only understand kama umeshaliishi lile vumbi la Kibondo! Kikubwa tuzichukulie hizi kama Changamoto za mda. Sometimes nakuwa disappointed kwa sababu katika mikoa yetu ya kanda ya ziwa ni wahaya ambao waliweka utaratibu wa kujenga makwao toka zamani. Leo ukienda Kigoma kuna watu nawafahamu ni engineers, lawyers nk..tunakunywa nao bia mjini Lakini ukienda makwao huko ni fedheha! Siyo Kigoma tuu..njoo Ngara, bihalamlo, Chato nk. Wote tuna Changamoto zile zile. Bado ambao wamesonga mbele hawarudi nyuma kuwakwamua wa kwao!

Kipi kifanyike? Kwanza wananchi wa haya maeneo tuamke. Tutambue kwamba kuendeleza haya maeneo ni jukumu letu. Pili, Serikali iendeleze juhudi za miundombinu. Kama ile barabara ya Nyakanazi kwenda Kigoma ikikamilika nina hakika kabisa itabadilisha Kigoma. Na ile barabara ya Tabora-Kigoma ikiwekwa lami tutaongea mengine.

Ingawa miundombinu ni hafifu Lakini bado hata wana-Kigoma wenyewe hawajakamata fursa zilizopo kisawasawa. Mfano last time nilitoka Kabanga-Ngara nikaenda Bujumbura nikatokea Kigoma. Ule ukanda una fursa nyingi sana. Lakini ndo hivyo bado tunalia njaa na umasikini.

In all, lazima tukubali kwamba baadhi ya maeneo yetu yako nyuma na ni jukumu letu sisi wananchi kupambana na kuhakikisha tunajikwamua. Maana na hiyo serikali yenyewe tunayoitegemea inaongozwa na watu ambao nao wana vipaumbele na njaa zao.

Lakini as a matter of fact, kama mtu ambaye nimeishi na kufanya kazi Kigoma, Kiukweli wana-Kigoma can and should do better! Tunaweza kuweka visingizio maelfu mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale. Tunahitaji kuamka.

Hata Kahama, Katoro, Lunzewe nk..miji inayochipukia....ni juhudi za watu. Juzi kati vilikuwa ni vijiji...leo tunaongea mengine.
 
kagera wanaishi maisha ya kizamani sana..hakuna mgeni anaweza kwenda akafungua hata biashara ya maana...utabaki na duka lako nobody bother to come n buy anything!wazawa tu ndio wanaweza
kagera ukabira ndo habari,yaan hata mpo watu wewe kama si wa huko utakoma,maana wenzio wanaanza kusemezana kilugha hata huelewi,
 
Back
Top Bottom