Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Status
Not open for further replies.
Wote mliotajwa hapo juu hakikisheni mnatoa michango tena zingatieni muda.
Shikamoo mzee Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
hapa nimekuelewa maana hata nami sikuelewa asante kwa kutujuza wote
Mpwa wangu kilambalambila haina sababu yoyote ya kuchangia pesa kama huna, waweza kutoa hata materials tu maana imani yetu ni kwamba japo wagonjwa wale mahitaji yao ni very selective lakini hayalingani hivyo kama hawatumii sabuni aina fulani lakini kuna mwingine atakua anaitumia au nguo au chochote kile chenye msaada kwao.

Tukumbuke kuwa kuna wengine wako na wasaidizi wao ambao wao hawana masharti, hivyo tunaweza kupeleka tu. Mchango hauna kiwango ni kadiri MUNGU atakavykujaalia tu
 
Pamoko babu Mtambuzi! Event ikikaribia uupitie job kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, namba ya M-Pesa please, nitatumia simu ya Skulimeti Asprin kutuma chochote... (Order imefungwa juu na chini)
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom