nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Ningekua mod ningeifuta post yako!
Hivi kwanini umeonesha chuki na uchoyo wako? Ukumbuke, sote tuna chuki, sote ni wachoyo but tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuficha udhaifu wetu huo!
Kama wewe hauko tayari kushirikiana si ungepita kimya kimya tu!
Alafu id yako ni Ustadh Saleh! Muslim! Ivi waislamu tutaendelea kuwa wapuuzi mpaka lini! Hapa naamini waislamu picha mbovu tunajijengea wenyewe!
unataka tusaidie hospitali zote na wote wanaohitaji! Uliona wapi likiwezekana hilo? Jee kama hilo haliwezekani ndio tuache kusaidia wachache kwa kile kidogo tulichonacho?
Shame on you fool!
...
Wadau tumsamehe bure huyu kiumbe wa Mungu, kwani hajui alifanyalo hapa!
alafu hapo ndo amefunga eti.... sipati picha isingekua ramadhani sijui angeropoka vipi....