Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Status
Not open for further replies.
Mtambuzi nimewahi kuwa na mgonjwa hapo ocean road, alichokiona huko hakuamini macho yake. Wagonjwa wanapopelekewa misaada na wasamaria wema wauguzi asilimia kubwa walikuwa na tabia ya kujichukulia na vinavyowafikia wagonjwa ni vichache mno. Jaribuni mfike visiting hours ili msiishie getini na kila atakayepata chochote akabidhiwe mkononi.
Uwezekano tabia hii imeisha upo pia
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi hongera..na big up
mmoja wa wake zangu ataniwakilisha.........
 
Last edited by a moderator:
kama mtu hayupo kwenye kundi la wajukuu ndo kusema haalikwi kufuturu? vibaya hivyo........
Halafu last week nilikuwa TA, si nikasahau kuwa mkubwa mwenzangu upo huko? mweeeeeee!


Ndiyo maana na sisi tumekususa kwenye futari yetu....

Ila kwa ruhusa ya Bibi....mwone mjukuu nambari one snowhite akupe complementary ticket pekee iliyobaki!!

Unakaribishwa sana Fixed Point!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa kutuhamasisha..! Mimi nimeshachanga.. Nitafurahi kuona wengi wakichanga pia..! Tuko pamoja Kaka..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom