Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Wana JF wenzangu naomba tuungane katika jambo hili...

Status
Not open for further replies.
Mmmhh sasa siye tuloko ushirombo huku si ndo tushakosa!! Btw-Usijali tupo pamoja!!!
 
Shukrani kwa Signore Mtambuzi na mpwa Elli kwa kunihusisha kwenye hii.. Nitachangia na ninaomba Mungu awape moyo wa kutoa kwa members wengine hapa JF..
 
Last edited by a moderator:
kadoda11 twenzetu basi. Mtambuzi, tuko pamoja kaka yangu.

ni bahati mbaya sana nipo nje ya dar kwa sasa.inshallah baada wiki mbili nitakuwa huko na tutakwenda.mwaka jana nilikata shauri week end moja,nilienda muhimbili kutazama wagonjwa na kuwafariji kwa chochote kitu nilichokuwa nacho.hakika lilikuwa ni jambo jema sana kwangu.nilitambua ule usemi wa "hujafa hujaumbika" au "leo wao kesho kwangu".
 
Last edited by a moderator:
kadoda11, karibu sana. Mi ni muoga sana wa spitali but children's homes naendaga sana tangu mdogo. Big up for that.
 
Last edited by a moderator:
hii namba mliyotoa mbona hamjadisklozi jina,nitajuaje kama nimetuma sehemu sahihi mweh
Iko kwa jina la jamiiforums, hebu mpwa wangu Neylu niambie wewe uliona jina gani? mchango wako umefika bado wa Asnam
 
Last edited by a moderator:
ok Mheshimiwa,ila ukishatuma unajitambulisha kwenye hii namba au
Asante Mpwa, naomba nitumie PM mimi au Shemeji Mtambuzi so far nimepokea baadhi ya PM zenye matumaini makubwa sana, sikutegemea jambo hili, asante sana sana.
 
Last edited by a moderator:
Tuko pamoja
Nimeipata PM yako nzuri sana, nimefarijika na mchango wako, MUNGU akubariki. Mtambuzi nimeiona PM ya ndugu yangu na mtani wangu. Tafadhali usiache kuwa-mention na wengine kwenye list yako tumalizie zoezi hili tukufu
 
Last edited by a moderator:
Iko kwa jina la jamiiforums, hebu mpwa wangu Neylu niambie wewe uliona jina gani? mchango wako umefika bado wa Asnam

mie nimetuma mchango kwa namba ya mtandao mwingine, kisha nikapiga ili kukonfemu lakini hola! simu haipokelewi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom