Wana JF wakijumuika pamoja

Wana JF wakijumuika pamoja

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wa mbele huyo ndio Bujibuji

33.jpg
 
Last edited by a moderator:
hao wanaocheza bumping ni nani na nani?
ahahahhahahhahahha natamani ujue nimewawaza kina nani!na sikwambii ng'oo!
 
Vijana wa siku hizi, hizi chips mayai ndo maana vitambi vinaanza utotoni
 
huyo wa mbele kushoto ni muheshimiwa rafiki yangu NKADABWI
 
Last edited by a moderator:
Boflo wewe uko wapi hapo??
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaaaaa ni babukubwa, lakini mbona hakuna wadada au JF members ni wanaume tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom