Nammeta
Member
- Jun 9, 2013
- 7
- 11
Nasikia Madam B, Paloma, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, KakaKiiza tangu tukutane pale Leo tupo hapa Pub mlikuwa mnamsumbua Mzee Mtambuzi kutaka kujua ID yangu.
Kwa kweli mimi nilikuwa ni msomaji tu, na nilikuwa sijajiunga JF, lakin i kuanzia sasa naomba munitambue rasmi kama mdau wa JF.
Ile discussion kuhusu Mapiramidi ya kule Misri na masuala ya Tiba Mbadala ambayo mjadala wake hatukuweza kuumaliza tunaweza sasa kuujadili humu kwa faida ya wengi.
Naamini Kipaji Halisi atakuwa anakumbuka.
Wadau wengine especially wale wa Chit chat na MMU naomba tukutane huko...
Wale wa majukwaa mengine nitakuja huko kujitambulisha baadaye lakini wa Jukwaa wa Wakubwa kina Kimbweka mtanisamehe, bado sijaruhusiwa na kwa umri wangu naogopa kupata Mihemko nakaishia kuwa pedophile..

Last edited by a moderator: