Wana JF Nikaribishen mgeni mwenyejii kwa mikono miwili...

Nammeta

Member
Jun 9, 2013
7
11
Nasikia Madam B, Paloma, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, KakaKiiza tangu tukutane pale Leo tupo hapa Pub mlikuwa mnamsumbua Mzee Mtambuzi kutaka kujua ID yangu.
Kwa kweli mimi nilikuwa ni msomaji tu, na nilikuwa sijajiunga JF, lakin i kuanzia sasa naomba munitambue rasmi kama mdau wa JF.
Ile discussion kuhusu Mapiramidi ya kule Misri na masuala ya Tiba Mbadala ambayo mjadala wake hatukuweza kuumaliza tunaweza sasa kuujadili humu kwa faida ya wengi.

Naamini Kipaji Halisi atakuwa anakumbuka.

Wadau wengine especially wale wa Chit chat na MMU naomba tukutane huko...
Wale wa majukwaa mengine nitakuja huko kujitambulisha baadaye lakini wa Jukwaa wa Wakubwa kina Kimbweka mtanisamehe, bado sijaruhusiwa na kwa umri wangu naogopa kupata Mihemko nakaishia kuwa pedophile..
 
Last edited by a moderator:
Mh! sasa ndo sikusomi kabisaaa....maana sio ndoa yangu tu utaivunja..saccos yangu nzima ipo hatarini kuvunjika kama utayasema ya kule huku!!!
 
mm sina wasiwasi na mume wangu Mentor kwani najua alikuwa na Paloma nami siku iile nilikuwepo na niliwaona kwahiyo best usiwe na shida yeyote kwani ni vibaya mtu kusalimiana na mwingine especialy rafiki wa moyo ambaye hawajaonana muda mrefu? au kuna ubaya wowote?
Niseme siku zile ulikuwa na nani pale Pub ili unikumbuke halafu kinuke kle kwa ladyfurahia?
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Madam B, Paloma, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, KakaKiiza tangu tukutane pale Leo tupo hapa Pub mlikuwa mnamsumbua Mzee Mtambuzi kutaka kujua ID yangu.
Kwa kweli mimi nilikuwa ni msomaji tu, na nilikuwa sijajiunga JF, lakin i kuanzia sasa naomba munitambue rasmi kama mdau wa JF.
Ile discussion kuhusu Mapiramidi ya kule Misri na masuala ya Tiba Mbadala ambayo mjadala wake hatukuweza kuumaliza tunaweza sasa kuujadili humu kwa faida ya wengi.

Naamini Kipaji Halisi atakuwa anakumbuka.

Wadau wengine especially wale wa Chit chat na MMU naomba tukutane huko...
Wale wa majukwaa mengine nitakuja huko kujitambulisha baadaye lakini wa Jukwaa wa Wakubwa kina Kimbweka mtanisamehe, bado sijaruhusiwa na kwa umri wangu naogopa kupata Mihemko nakaishia kuwa pedophile..

Kama unaijua mihemko basi umesharuhusiwa na huku karibu sana
 
mumeniawachakwenye usiku wa giza neneee na mvua kubwa ya mawe yenye radi zenye hasiraaaaa.....

Sikukaribishi mpaka useme kwanza ulikuwa wapi muda wote nk
 
ni bora niivunje mwenyewe mhusika hiyo saccos yako kwani inanikera na kuniboa sana kwani sikuhizi umekuwa huonekani home pantoniki kwa ajili ya hiyo saccos yako, sijui nikueleweshe vipi unielewe wewe na sijui nikwambiaje uache hiyo tabia ambayo kwangu ni kero sana, na sijui nikubebe kwa mbeleko gani hasa sijui ya katani, au chuma? yani unaniuzi na kunisindano sana, ni bora sasa niende ustawi wa jamii sasa maana..................?:A S 576:
Mh! sasa ndo sikusomi kabisaaa....maana sio ndoa yangu tu utaivunja..saccos yangu nzima ipo hatarini kuvunjika kama utayasema ya kule huku!!!
 
hebu kaeni na mwenzenu mumwambie maana yeye anaona sifa kuwa na SACCOS zisizo na idadi hajui kuwa magonjwa ni mengi siku hzi na ajui kuwa kuna mtu spesheli kwake kwanini anaweka SACCOS PANTONIKI, KIMARA, UBUNGO, UKONGA BANANA, MIKOROSHINI, KIGURUNYEMBE, ARUSHA na mara LEO TENA PUB kwa Mtambuzi, kwa nini lakini hatulii na saccos moja ili aidumishe na kuistawisha
hahahahahaha..nishakukumbuka eeh lete story..tuliishia wapi vileee@Nammeta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom