Elimu siyo siasa!!!! Ni chuo cha kata na sababu hizi hapa
1) Wanagraduate bila mafunzo ya vitendo
2) Walimu wao wengi wana bachelor au masters degree (Kawaida hawa ni tutorial assistants)
3) wanaoapply hapo wengi ni wasio na matumaini vyuo vizuri hapa TZ
Labda wewe unafikiri chuo ni majengo! La hasha! Chuo ni elimu bora.
Conclusion
UDOM ni chuo cha kata mpaka hapo kitakapokuwa na walimu wenye sifa na wanafunzi bora
na bado mtaumizwa sana vichwa na UDOM mana haiwatoki kichwani am proud to be mwanaUDOM
Hata SAUT ni chuo cha kata...hovyo sana!!!
CCM oyee
Ulieleta mada ni mburura, udom ndo chuo kinachoongoza kuwa nawahadhiri wengi wa kigeni na karibia 98% wana shahada ya uzamivu, nimesoma udom unachosema chuo cha kata nimepata kazi kwa kuwashinda graduates from Udsm, SAUT na Mzumbe, dunia ya sasa unajua nn
Wakuu japo sio rasmi,chuo cha UDOM kinasemekana ni chuo cha kata.Imeelezwa kuwa sababu kubwa ni kuwa na walimu wasio na sifa pamoja na course "bwerere"!Wenye taarifa watujuze