Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

Sina uhakika na haya,kwani vigezo vipi umetumia kutambuwa uduni wa wanafunzi na familia zao? pia hakuna chuo chochote duniani kimeanza na kuwa na maprof kama walimu,ni lazima uajili then usomeshe,sasa mkuu mimi sikuelewi unapozungumzia vodafasta,sijui wapi wanatowa degree za namna hiyo sijui tupe chuo kinacho andaa walimu wenye degree voda fasta

mapinduziiii daimaaaaaa

vyuo vinaanza lakini sio kikubwa hivyo(tuitorial assistant hawawezi kuaaccomadate that mass of student)
 
Mimi binafsi hiki Chuo kilinipa wasiwasi baada ya kuanza kutunuku honorary PhD wakati hawakua hata na mwanafunzi wa Masters katika fani zote! Walikuwa nanataka sifa au kukimbilia nini hasa? Wahadhiri wenye tafakuri kubwa hawawezi kufanya vituko hivi. Nakubaliana na mdau aliesema most lecturers wana first degree tu.

jamani someni taratibu zinazoongoza vyuo vikuu! inawezekana kweli ukawa lecturer ukiwa na first degree?
hao mnaowazungumzia ni ma T.A na wako wengi kutokana na wingi wa wanachuo na wote wanaendelezwa ili kuwa ma asst lecturers na hatimaye ma lecturers kamili na hayo yanafanyika!
ila lipo tatizo la aina ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo sasa na tabia zao ktk kusoma(si wote) na hii ni kwa vyuo vyote wanachuo wengi wa sasa hawako makini na masomo ni tokeo la kuchakachua elimu toka msingi na sekondari hivyo kuzalisha utamaduni mpya wa elimu chakachua hadi vyuo vikuu na udom imeathirika zaidi kwa kuwa kundi hilohilo ndilo waanzilishi wa chuo wakati vyuo vingine walau walikuta utamaduni mwingine umeshamiri!
tufanye nini?
pamoja na kuishambulia udom kwa jina ambalo wala haliipunguzii udhaifu au uimara wake ni wakati wa kuwajenga wanafunzi na wanachuo utamaduni bora wa kujifunza na kuiona thamani ya elimu walienda kuifuata huko vyuoni na kuitumia ktk maisha yao ya kila siku kwa mustakabali mwema wa taifa la Tanzania.
na jamvi hili ni mahala muhimu zaidi kwa hilo!
tafakari nami!
 
Self qualification is no qualification. Ukiona mtu anajisifia yeye mwenyewe, ana matatizo. Kwa upande wa vyuo ipo taasisi ( accredited council) yenye wajibu wa kusajili vyuo Tanzania. Taasisi hii ina vigezo vya msingi vinavyokubalika ili chuo kisajiliwe/kitambulike.
Mtu mwingine yeyote anayejitwisha jukumu la kuvitambua vyuo vinavyofaa na visivyofaa, anajifurahisha tu. Ikiwa mwanamke katika ya wanawake wenzake anajitapa kuwa yeye ndiye mwanamke pekee kati ya wote bila shaka wenzake watambeza na watahoji KWA LIPI LA ZAIDI?
 
Ndugu zangu ma GREAT THINKERS
naomba niwaulize swali moja tu leo juu ya uhalali wa baadhi ya wapinga maendeleo ya kielimu ktk JF kukiita chuo kikuu cha dodoma kuwa ni CHUO CHA KATA,ningependa kutambuwa ni vigezo vipi wapinga maendeleo ya kielimu hapa JF wanavitumia ktk ku grade UDOM kama chuo kikuu cha kata?

mimi nadhani umefika wakati baadhi ya wapingamaendeleo ya kielimu hapa jf wakubali mchango mkubwa uliotolewa na serikali yetu ktk kukijenga hiki chuo,kwani tutambuwe kuwa ktk Dunia ya sasa bila elimu huwezi kuendelea

May be tubomoe chuo cha UDOM ili kuwaridhisha baadhi ya wana Jf wasiokubali kuwa UDOM ni chuo kikubwa pekee hapa TANZANIA na chenye msaada mkubwa ktk taifa letu kimaendeleo

Wana jf kuna uhalali kweli wa kukiita chuo chetu kikuu cha udom kuwa ni chuo cha kata? ama kwa sababu msingi wake ni CHIMWAGA jengo la mikutano ya CCM? hivyo inatufanya tuendelee kuwa na fikra zile zile za kila siku?


karibuni jamvini
MSEMA UKWELIIIIII HAPENDWIIIII DAIMAAAAAA

mapinduziiii daimaaaaaaaaaaa :target::target:

'time will tell' ...hapa utatumia nguvu nyingi kubshana na wasoelewa kwamba UDOM ni Chuo kikuu na sio cha kata..,hoja zao Majengo,Wanafunzi wanaochaguliwa vilaza,Walim hawana vgezo....Emu fatilien khs wanafunz wanaodahiliwa pale,ni wale walio ktk madaraja ya 1 adi 3,tena 3 ni wachache ambao huenda kwny mambo ya ksayansi...mfano mzur mi nmehtm bcom-finance pale,mwaka wetu wa 2009 tulichaguliwa wenye daraja la 1 na 2,.ivo ivo adi 2010,lakn 2011 walochaguliwa ni wa daraja la kwanza tu..sasa hao vlaza wanatoka wapi? walmu mnaowasema weng wao ni wale wasaidiz ambao hata mliman wapo. Embu tuachane na maneno yaso na mcng,..tutafute njia za kuboresha elim ya nchi yetu,sabab hata UDSM nayo imeshuka cku hzi...sio tung'ang'ane kubshana kata,wilaya au mkoa....
 
Cha msingi watanzania tuseme HAPANA kwenye BORA ELIMU.Tusipumbazwe na ujinga wetu!Kama chuo hakina walimu basi wahusika wafanyie kazi na wanafunzi wake wapige kelele ili wapate ELIMU BORA yenye ushindani.
 
Elimu siyo siasa!!!! Ni chuo cha kata na sababu hizi hapa

1) Wanagraduate bila mafunzo ya vitendo
2) Walimu wao wengi wana bachelor au masters degree (Kawaida hawa ni tutorial assistants)
3) wanaoapply hapo wengi ni wasio na matumaini vyuo vizuri hapa TZ

Labda wewe unafikiri chuo ni majengo! La hasha! Chuo ni elimu bora.

Conclusion

UDOM ni chuo cha kata mpaka hapo kitakapokuwa na walimu wenye sifa na wanafunzi bora

The Dreamer napinga na hoja yako kabisa kwa kusema kwamba
1.Wanagraduate bila mafunzo ya vitendo-Kwa hapa sio kozi zote ambazo hazina mafunzo ya vitendo,kuna kozi zingine wenye nazo.Na pia serikali inafikiria suala hili kuhusu kubadilisha mitala kwa kuweka kwa kila kozi.Na taizo ni kwamba walisema serikali haina pesa za kutoa kwa kila kozi kwenda kwenye mafunzo kwa vitendo.Na wewe kama uijuavyo bodo yetu mndo mdau mkuu wa utoaji pesa hizo.Na hadi sasa bodi iko hati hati kufa kwani wanasema wahisani na wafadhili wamepunguza utoaji wa pesa za msaada.

2.Walimu wao wengi wana bachelor au Masters degree-Hakuna mwalimu mwenye bachelors anayefundisha UDOM kama una ushahidi uweke jamvini.Pili kwa level ya Masters ndo tunaamini kwamba huyu lecturer ana sifa stahili za kufundisha.Na wengi wakiwa pale bado wanajiendeleza kwa kusoma kwa kufadhiliwa na chuo kwa ajuli ya Udaktari.Pia kwa uhaba wa wahadhiri Tanzania sioni ubaya kama mtu wa Masters akakufundisha na hatimaye unajiendeleza wewe mwenyewe kwani lecturer ni mwelekezi na hiyo elimu ni Universal kwa maana haina mwisho wa kuijfunza.

3.Wanaoapply hawan matumaini na vyuo vizuri hapa TZ-Sijui kwa mtazamo wako hivyo vyuo vizuri unavipanga katika mchakato upi.Labda naomba uniambie hivyo vyou vizuri unavyojua wewe?Acha kuwa na akili za zamani kuona wenzako wanaosoma vyou vingine hawafai.Wakati mwingine jaribu kutoa mifano ambayo ina mantiki na siyo kujisemea tu.
 
Hapa tunapima uwezo tu wa mtu mmoja mmoja...wewe kama kilaza hata ungesoma Udsm(chuo cha siku nyingi) kwa miaka 100 bila juhudi binafsi na kujituma katika kuyafahamu mambo..yaani kua mdadisi...kusoma vitabu.
utabaki daima kujisifu nimepita chuo kikubwa lakini wenzio tulosoma huku kata tukakuzidi maarifa na taaluma kwani sisi si watu wakujiskia na mara zote tunajituma...nakupa taarifa...ofisini hapa nina wanafunzi wa field wa udsm,mzumbe,udom etc..hawa wa udsm kwa ulevi wakujiskia wapo town na ktk chuo kikubwa si watu wa kujituma na ni wazito sana wa kuelekezwa..kazini wanachelewa kufika..yaani tabu tupu,,,kila time simu,,,ila vijana wangu wa Udom(kata kama unavyokiita) they are so punctual..inteligent na ofisi nzima ina wa admire,...ushauri unaoweza kutoa ni nini kifanyike ili kuboresha na si kuchonga...mimi nimesoma Udom na nipo ofisini na ktk interview nimegaragaza wote hao wa udsm,mzumbe, etc..kuanzia written..pale nbaa i scored 90% na wa pili, wa tatu mpaka wa tano tulishikilia wana udom...sasa hao udsm walikua wapi? na sasa tupo kazini tunafanya vizuri na tuna kubalika....life its not rehaso its performance wewe..kua makini....jiamini binafsi usitegemee jina la chuo kuku beba...alafu udom ni chuo kipya na wataalamu wakufundisha wenye uwezo lazma ni wahitimu wa vyuo hivyo vikongwe kama udsm..kama ni vilaza that means
udsm wanazalisha vilaza...
tafuteni elimu..tafuteni pesa ..majivuno...acheni....
wewe kwa mawazo yako..wahitimu wote wa form six na wengineo wangetosha pale udsm?..kua na fikra endelevu...
wewe kama hukuwa mzuri toka huko sekondari hata ungesoma Havard or Oxford...huwezi shindana na watu wanao jituma kama wana Udom......
Leo hii madudu tunayoyashuhudia ktk sector mbalimbali ni matokeo ya wataalamu wabovu walozalishwa na chuo pekee kilicho kuepo TZ cha Udsm..ila ktk hili ubovu wa mtu mmoja mmoja ndo swala.....
Kilaza mkubwa.
kubali mabadiliko achana na fikra za babu zako.
 
Kumbe wote wanaosoma vyuo vingine ni matajiri...
akili yako si nzuri kumbe.....
TCU wanapo allocate watu vyuoni huwa wanatizama uwezo wa mtu?
basi kama ndiyo wa Udom wangepewa 100% LOAN ALAFU NYIE WA uDSM Watoto wa Kishuwa msingekua mna andamana kila mara kwa mkopo kuchelewa...
akili yako ni ndogo kuliko hata mbegu ya mchicha..tukiwa na watu kama wewe hakika nchi hiii maendeleo tutakua tunayasikia tu kwa wenzetu....Shem upon u..Hiloooooooooo!!!!!!! akili mgandooooooo.........................
 
Mi naona ili ubishi uondoke inabidi midahalo iandaliwe kwa fani mbalimbali kutoka vyuo tofauti tanzania then tuone nani amedeliver na ni compitentt.... Offcozz natokea udom ila uko mtaaani kwa watu tunaosoma kozi zinazofanana kutoka kwingine duuuuuh """"""wapo shalllow"""""""
 
Elimu siyo siasa!!!! Ni chuo cha kata na sababu hizi hapa

1) Wanagraduate bila mafunzo ya vitendo
2) Walimu wao wengi wana bachelor au masters degree (Kawaida hawa ni tutorial assistants)
3) wanaoapply hapo wengi ni wasio na matumaini vyuo vizuri hapa TZ

Labda wewe unafikiri chuo ni majengo! La hasha! Chuo ni elimu bora.

Conclusion

UDOM ni chuo cha kata mpaka hapo kitakapokuwa na walimu wenye sifa na wanafunzi bora

umemaliza kila kitu udom chuo cha kata
 
Kuna mwalimu mwenzangu nimeajiriwa nae mwaka huu, yeye ka graduate UDOM aisee anatia huruma.
 
Najihisi fahari kuwa mwana-udom 2012, hata mbuyu ulianza kama mchicha. I know why alwayz udom,saut,makumira etc. Day are coming....najua mnachokihofu but real life kitaa judges and not titles.
 
Kwa mara nyingine nasema wanaoponda UDOM na Mataahira na inabidi wakapimwe akili,wanapelekwa na hisia na chuki na wivu vimewatawala,.

Nimejaribu kufanya utafiti nikaona wote wanaoponda UDOM ni vilaza especially wanaotoka katika vyuo flani flani ambavyo kwa sasa vinaonekana kufunikwa na UDOM.

Mdogo wangu amemaliza UDOM kwenye college ya I.T mwaka huu, na alipata multiple admission moja ya UDSM engineering, ila akaamua kwenda UDOM kusoma I.S na miaka yote aliyosoma pale alifanya field na sasa anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa hapa dsm inayotoa huduma za Internet (ISP), na yuko nondo zaidi hata ya dogo wangu mwingine aliyemaliza UDSM Computer Science mwaka jana.

Kwa kifupi ukiona mtu mwenye Bachelor kakabidhiwa course afundishe labda anafundisha watu wa Diploma au Certificate, lakini hakuna mtu mwenye Bachelor anayesimamia somo lolote UDOM, zaidi ya kusimamia semina.

Narudia tena nyie mnaoponda UDOM bila kufahamu ukweli ni wanafiki, mataahira, wapumbavu na wazandikimsiopenda maendeleo ya elimu katika nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki UDOM.

Mti wenye matunda hupigwa mawe siku zote kifupi UDOM inazidi kupanda chati siku hadi siku hata watu hapa jamvin huizungumzia karibu kila wiki shukran kwa "HATERS' wa UDOM tunaomba muendelee ivo @Harvad of Africa
 
Udom for the future liberation of the losted hope of Tanzanian education. Eti chuo cha kata, endeleeni kujikweza ila madudu yote ktk nchi hii ni zao la wasomi toka chuo chetu kikongwe, then what? Akili mgando, majivuno kibao. Shame on you.
 
ishu sio wangeenda wapi kama sio UDOM but cha msingi n kwamba kwa sasa elimu inayotolewa bado ipo ktk low standard ukilinganisha na vyuo vingine vya hpa tz.......Datz fact.
Wew usitake kuleta siasa hapa mi napiga field na m2 wa udsm yan hata kujaza scheme of work hajui then syllabus inamchanganya mbaya mpaka nimemuelekeza namna ya kutumia syllabus na kujaza scheme of work iyo lesson plan ndo kabisa yan kadesa kwa washkaj waliopita af eti ndo mnaponda UDOM wakati udsm limebaki jina tu kichwan hamna lolote .
 
Udom for the future liberation of the losted hope of Tanzanian education. Eti chuo cha kata, endeleeni kujikweza ila madudu yote ktk nchi hii ni zao la wasomi toka chuo chetu kikongwe, then what? Akili mgando, majivuno kibao. Shame on you.
Ur a 'CRITICAL THINKER"
 
UDOM ni:-
1.Chuo kinachosifika sana kwa ukubwa wa majengo kuliko ubora wa elimu inayotolewa
2.Waalimu wengi wafundishao hapo wana elimu ya chini,wengi ni ma Tutorial Assistant(ni kama temporary teachers ktk shule za kata).Wahadhiri wenye Master/Phd ni wachache sana.
3.Wahitimu na wanachuo wengi wa UDOM hawana weledi ktk masuala mengi ya kitaaluma na kijamii.Ni waoga na wasiojua kudai haki zao (ni kama wanafunzi wa shule za kata).
4.Ubora wa elimu bado ni wa hali ya chini sana hii inapelekea chuo kiitwe"CHUO KIKUBWA na sio CHUO KIKUU"pia ni CHUO CHA KATA"
Haya sasa,"Akili ya kuambiwa changanya na za kwako"

TCU ndo wanadai ivo au porojo zako tu ili siku iende?
 
nadhani mkuu ungejaribu kufuatilia cv za walimu waliopo pale kwanza then ndio uongee
kwani usemacho kinautofauti mkubwa sana,pili umefika wakati tutoe kutu tulizonazo ktk vichwa vyetu kwani malanyingi tunatumia maji ktk kufikilia na sio bongo

mapinduziiii daimaaaaa

Mbona hujajibu suala la kumaliza bila mafunzo kwa vitendo? Ni kweli kuna waliograduate bila PT.
 
Back
Top Bottom