Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

Anaesema udom chuo cha kata namkaribisha aje coes ,bsc in geology, geoinformatics, mining ,petroleum and mineral processing engineering ,,,,,,,, we payuka wanaume tunachukua ujuzi tunawahi migodini !!!!!!!!!!

Haha migodini tayari kuna wale ma TO wa geology from conas udsm, mining engineering na petroleum @ coet udsm..... Sasa nyie mtasugua gaga mpaka wote wapate ajira......
 
Udsm pia wana geoinformatics,,,,,,,,??.. kwanza unaijua hii course au naku overdose???? Romotesensing operation, geological maping, mine survey, geographical information system, au naku overdose mkuu?!?!
 
Mnaupungufu wa ma professor, hamjafanya research and publication za kutosha ni chuo kikubwa lakini kichanga sana.... Ukikiita cho cha kata hujakosea maana kina sifa zote kama za shule za kata... Embu angalia wanaadmit watu wenye point 2 akati udsm minimum ni 5 halafu kiuhalisia huna point 13 Competition itakupiga chini..... Udom wa kubali tu.... Wanasafari ndefu sana mpaka wapate heshima yao.... Ukitoka udom na GPA ya 5.0 unataka kusoma masters udsm wanaweza wakampa nafasi wa GPA ya 3.7 wa udsm, ardhi, mzumbe or muhimbili...maana wameiva kweli....
 
Udsm pia wana geoinformatics,,,,,,,,??.. kwanza unaijua hii course au naku overdose???? Romotesensing operation, geological maping, mine survey, geographical information system, au naku overdose mkuu?!?!

2mi Law enforcement ndo specialization yangu hapo GIS naifahamu sana tu..... Udsm kuna geology na hata walimu wenu wamesoma hapa bachelor zao
 
Lawenforcement?????una mdisi mtu wa geology udom??? Hii mpya!!!

Ulitaka wote tusome geology n then nani ata deal na mambo ya investigations,,, cybercrime,,, Intelligence eeee sio law enforcement tu hata sociology ya udsm ina quality kuliko.... Geo ya udom.... Based in quality na sio wanachofundishwa.
 
Sociology vs geology ?? Sasa na apply Eisten theorxm the answer of an ignorant is silent??
 
Hii thread ya mwaka 2010 unaiibua miaka mitano baadae,soma university ranking ya mwaka 2010 & 2014,UDOM ya sasa iko juu
 
Sociology vs geology ?? Sasa na apply Eisten theorxm the answer of an ignorant is silent??

Sasa kijana point 2 sio chache embu zitumie kufikiria vizuri nakwambia nimebase kwenye quality na sio content.... Sociology mpaka seminar leader ana PhD sasa wewe embu tuambie katika coz zako zote umefundishwa na maproffessor wangapi na wenye sifa gani hapa Tanzania.... Wamepublish vitabu vingapi, journal nakutoa public lectures ngapi maana kama walimu hawajulikani nyie mtajulikana vipi kijana..... Ila usiwe na shaka sikuizi masociologist wa udsm naona wanakua malabour rltn officers na HR's so utakutana nao kwenye interview panel na watakupiga chini tu labda uende migodi ya kata nafasi utapata
 
Duh!watoto mna mambo,ivi aliyewaambia soko la ajira linaangalia hayo makaratasi mliyowekewa alama za kukaririshwa ni nani?
 
Hapa Tanzania ma proffesor wa geology ,,tunae Muhongo,,, hapa udom tuna madokta watatu unadhani elimtu ya miamba inafanana na elimu ya jamii????
 
Hii thread ya mwaka 2010 unaiibua miaka mitano baadae,soma university ranking ya mwaka 2010 & 2014,UDOM ya sasa iko juu

Hahaha miaka minne tu! Kwaio ndo zilikua long term plan za udom?? Unajua imechukua miaka miaka mingapi kwa udsm kufikia hapo ilipo? Sasa subirini udom mkifikisha io miaka atleast itakua Fair play hapa
 
One day you will understand!?? Nani atahaso kitaa na nani atawin game ila wewe sio mpinzani wangu mi mtu wa miamba wewe jamii ngoja nikutafutie wenzako wa elimu ya jamii??
 
Hapa Tanzania ma proffesor wa geology ,,tunae Muhongo,,, hapa udom tuna madokta watatu unadhani elimtu ya miamba inafanana na elimu ya jamii????

Udom naona wanataka kuifananisha kwa kupeleka vichwa vya point mbili na kugraduate na distinction!!!😘
 
One day you will understand!?? Nani atahaso kitaa na nani atawin game ila wewe sio mpinzani wangu mi mtu wa miamba wewe jamii ngoja nikutafutie wenzako wa elimu ya jamii??

Ukianza kuzunguka na bahasha nijulishe nikusaidie.... Afu am a law enforcer... Na sio sociologist.. 🙏 🙏 🙏
 
Ukianza kuzunguka na bahasha nijulishe nikusaidie.... Afu am a law enforcer... Na sio ociologist..
Hivi hata mgambo nae c ni law enfocer,au me ndo sielewi?
 
Lawenforcer!!!!? Tanzania hi maana yake we mgambo, polisi au sungusungu xaxa wewe nani????
 
Back
Top Bottom