---------------
Mie nasapoti hili na nilishashtukia UDOM ni bomu lingine la elimu, hata hayo majengo yaliyojengwa na wachina kwa muda mfupi tuyape miaka mitano tujue kama ni imara. Kuna ripoti mbaya kuhusu sewage system iliyopo etc.
Kazi kweli kweli!
mchukue mwenye degree ya ed..kutoka udom halafu na mwenye diploma ya ed kutoka korogwe tc au marangu tc..wape interview
Ni kikubwa kama kata, pia wanafunzi wake wengi wanatoka shule duni za kata, pia hata pombe wanafunzi wa udom wanazokunjwa ni za kienyeji hutumia kata kunywa, pia course zao hufundishwa kwa ku-kata kata ie extreme, pia udom wanajua ku-kata viuno sana ie wanajua kukatika bed.
Wanajamii naombeni sababu za kukiita chuo kikuu cha Udom ni cha Kata?
i love u UDOM COed,bed GUCO pure.
i love u UDSM-The Home of intellectuals
Siyo nifuatilie nawajua kwa majina na wengi ni rafiki zangu.