Kwa cozi hizo naweza kuwa mgambo, sungusungu, polisi na n.k yani hujakosea
hata udsm kuna multiple choice kwa baadhi ya cozi ila multiple choice kwa uzoefu wangu ni ngumu kuliko maswali ya explanation hasa pale unapokuta ukikosea inahesabiwa kama negativeKuna mtu hapa ananiambia kuwa UDOM ni chuo cha kata. Sababu yake kuwa ni mitihani za Multiple choice (japo kwangu si sababu ya msingi).
Eti walimu hulazimika kufanya hivyo kwa sababu ya wingi wa wanafunzi. Je hili mnalioneje wadau
Kwa mara nyingine nasema wanaoponda UDOM na Mataahira na inabidi wakapimwe akili, wanapelekwa na hisia na chuki na wivu vimewatawala,.
Nimejaribu kufanya utafiti nikaona wote wanaoponda UDOM ni vilaza especially wanaotoka katika vyuo flani flani ambavyo kwa sasa vinaonekana kufunikwa na UDOM.
Mdogo wangu amemaliza UDOM kwenye college ya I.T mwaka huu, na alipata multiple admission moja ya UDSM engineering, ila akaamua kwenda UDOM kusoma I.S na miaka yote aliyosoma pale alifanya field na sasa anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa hapa dsm inayotoa huduma za Internet (ISP), na yuko nondo zaidi hata ya dogo wangu mwingine aliyemaliza UDSM Computer Science mwaka jana.
Kwa kifupi ukiona mtu mwenye Bachelor kakabidhiwa course afundishe labda anafundisha watu wa Diploma au Certificate, lakini hakuna mtu mwenye Bachelor anayesimamia somo lolote UDOM, zaidi ya kusimamia semina.
Narudia tena nyie mnaoponda UDOM bila kufahamu ukweli ni wanafiki, mataahira, wapumbavu na wazandiki msiopenda maendeleo ya elimu katika nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki UDOM.
Mnaupungufu wa ma professor, hamjafanya research and publication za kutosha ni chuo kikubwa lakini kichanga sana.... Ukikiita cho cha kata hujakosea maana kina sifa zote kama za shule za kata... Embu angalia wanaadmit watu wenye point 2 akati udsm minimum ni 5 halafu kiuhalisia huna point 13 Competition itakupiga chini..... Udom wa kubali tu.... Wanasafari ndefu sana mpaka wapate heshima yao.... Ukitoka udom na GPA ya 5.0 unataka kusoma masters udsm wanaweza wakampa nafasi wa GPA ya 3.7 wa udsm, ardhi, mzumbe or muhimbili...maana wameiva kweli....
Nukuu;
1. Matahira,
2. Wanafiki,
3. Matahira,
4. Wapumbavu,
5. Wazandiki na
6. Msiopenda maendeleo ya elimu katika nchi yetu.
(abusive words)
Katika taaluma ya "writing skills"(stadi za uandishi) kitu kinachosisitizwa katika taarifa/habari fulani huandikwa kwa herufi kubwa, kupigiwa mstari, kubold(kukoleza wino) au kurudia rudia neno (maneno)n.k nia ni kuonesha msisitizo wa jambo/kitu husika.
Sasa kama wewe hizo hoja umezilbold(koleza) namna hiyo kutusisitiza wasomaji juu ya uzito wa hoja hizo, basi si ajabu mtu kuichukulia taasisi iliyokufunza kuwa ni ya namna kama ya kwako. Hoja hizo zilikuwa si za kuziweka mathlani kuzibold namna hiyo kama ni mechanism ya kufanya arguments jamvini. Harafu mtu akikutazamia negative ulalamike. Mimi nazani angalia namna nzuri ya kujenga hoja na kuuweka uhalisia wa mambo, ili kama nitofauti na watu wanavyofikiri waelewe ukweli wa mambo ulivyo. Vinginevyo ukiendelea na utetezi wa namna hii utaendelea kuwathibitishia watu taaluma ya taasisi husika(unayoitetea).
NB:
Mimi nipo neutral wala sijaegamia upande wowote.

unadhan ni kitu gan kilichoifanya udom kupanda mpaka top 5 ya vyuo bora tz? kwasasa udom walim wengi wanarudi kutoka masomon na wengi sana wameandika publications na journals kibao pia chuo kimetoa mchango mkubwa ktk jamii kupitia wanafunzi walomaliza!halaf ni ajabu sana kumfananisha anaesoma udom bsc engineering na we unaesoma cjui laws enforcement! nadhan bado upo chuo maliza uingie kitaa uone ushindani wanaotoa wanafunzi wa udom ktk interviews! nenda makampuni makubwa ya mafuta ka BG., pan african energy uliza kwe interviews zao za mwaka jana wanafunzi wa wap ndo waliajiriwa??kuna watu kibao walikuwa na masters zao za ud ila walipigwa chin na bachelor's holders wa udom!aana wameiva kweli....