Wana JF Mwanza

nasi tunajiandaa kwenda dar kwa pariiii.
Karibu
 
Mmojawapo mie karibu.
Sukuma contacts zako through pm kama utajali .
 
nasi tunajiandaa kwenda dar kwa pariiii.
Karibu

Sasa ndugu yangu amu kumbe weww wa mwanza hata hatujuani...Tutafutane bwana maana kujuana ni jambo la kheri
 
Last edited by a moderator:
PM Judgement akakutoe tongo tongo
hao wengine wamechoka mbaya.
(Angalizo: Taja kwanza jinsia yako ni muhimu)

Sina tongo tongo, kama wamechoka wanione niwape hata of sichagui jinsia kama judgment
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…