Election 2010 Wana jf, mtikila yupo wapi?

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
Kesha lamba fungu lake kubwa na kutosha toka kwa mkuu wa kaya anakula taratibu...kasema hataki tena kelele hadi ziishe
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,405
Points
0

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,405 0
Juzi alitoa kauli iliyonifurahisha kweli kweili: Aliwaponda viongozi wa kidini (Wakristu) waliokwenda kwa Dr Slaa kumbembeleza akubali matokeo. Mtikila aliwaita hao watu wa dini ni manafiki wakubwa kwani alihoji -- kwa nini pia hawakwenda kwa JK kumwambia "Lakini nawe -- kwa nini Tume yako (NEC) iliiba sana kura?
 

Kiherehere

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,809
Points
1,500

Kiherehere

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,809 1,500
yeye anadili na katiba tu, so nafikiri atakuwa najaribu kuisoma kwa undani ili aweze kuibuka na mapungufu mengine. Hana recodi ya kumshitaki mtu, ila kuishitaki serikali tuuuuuuuu.
 

mundo

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2010
Messages
200
Points
0

mundo

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2010
200 0
alinifurahisha aliposema kuwa, kwa nini wanamfuata Dk peke yake wakati wananchi ndo wamedhulumiwa kura zao sio Dk, kwani Dk kura yake ni moja tu yake mwenyewe!
 

Forum statistics

Threads 1,392,128
Members 528,544
Posts 34,099,528
Top