Elections 2010 Wana jf, mtikila yupo wapi?

Mpiganaji tz

Member
Jul 22, 2010
21
0
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
 
Anaandaa katiba mpya ya tanzania, itakayo ruhusu mgombea binafi nk. Atamkabidhisha anne hivi karibuni ili waijadili bungeni
 
Kesha lamba fungu lake kubwa na kutosha toka kwa mkuu wa kaya anakula taratibu...kasema hataki tena kelele hadi ziishe
 
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
Naamini uliimanisha Mch. Mtikila, huyu mzee tangu Rostam atange kuwa alimpa mshiko kipindi furani amekuwa mpole sana...
 
Juzi alitoa kauli iliyonifurahisha kweli kweili: Aliwaponda viongozi wa kidini (Wakristu) waliokwenda kwa Dr Slaa kumbembeleza akubali matokeo. Mtikila aliwaita hao watu wa dini ni manafiki wakubwa kwani alihoji -- kwa nini pia hawakwenda kwa JK kumwambia "Lakini nawe -- kwa nini Tume yako (NEC) iliiba sana kura?
 
Usijali mtikila akipanda jukwaani utamkubali. I miss him. Kwangu mimi he is the most patriotic politician!
 
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?

Hivi juzi alipowashutumu viongozi wa kidini kuwa ni wanafiki alikuwa wapi vile????
 
yeye anadili na katiba tu, so nafikiri atakuwa najaribu kuisoma kwa undani ili aweze kuibuka na mapungufu mengine. Hana recodi ya kumshitaki mtu, ila kuishitaki serikali tuuuuuuuu.
 
yeye anadili na katiba tu, so nafikiri atakuwa najaribu kuisoma kwa undani ili aweze kuibuka na mapungufu mengine. Hana recodi ya kumshitaki mtu, ila kuishitaki serikali tuuuuuuuu.

teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!!
 
alinifurahisha aliposema kuwa, kwa nini wanamfuata Dk peke yake wakati wananchi ndo wamedhulumiwa kura zao sio Dk, kwani Dk kura yake ni moja tu yake mwenyewe!
 
Mbona huniulizii mimi au wewe mbaguzi? Hujamsikia kwa kuwa hajatokea kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom