The Tanganyika dream: Tulipokuwa watoto tulimuona Mtikila ni msumbufu kumbe alipanda mbegu inayomea kwenye vizazi vipya

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,966
6,656
0AA7BF71-8068-4AE8-A3DC-CDAC54A49F26.jpegMahojiano yake na mwananchi gazeti tarehe 23 Machi, 2014.

Mchungaji Christopher Mtikila ni mmoja ya wanasiasa ambao kwa miaka zaidi ya 20 sasa, wamekuwa wakililia kurejea Serikali ya Tanganyika. Katika mahojiano na gazeti hili Mtikila akaeleza kwamba “Serikali ya Tanganyika sasa haiepukiki.”

Swali. Wewe ni Mjumbe wa Bunge la Katiba nini maoni yako baada ya Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kwenye Bunge la Katiba?
Jibu:
Jaji Warioba na tume yake wamefanya kazi nzuri na wameunga mkono harakati zangu za kuidai Tanganyika iliyo huru ambayo ilikuwa inafichwa na watu wachache.

Swali. Katika taarifa ya Jaji Warioba amebainisha changamoto nyingi ndani ya Serikali mbili je unadhani mfumo wa Serikali tatu sasa ni mwafaka?
Jibu:
Muungano ni uhusiano ya hiari na lazima usukumwe na masilahi ya kila upande, hivyo kwa sasa kuendelea na Muungano unaopingwa kila upande ni sawa na utumwa.

B126FA12-6DB5-4589-8688-A011D163ACB2.jpeg

Swali: Baadhi ya Watanzania wamekuwa wakipinga Mfumo wa Serikali tatu ambao, umependekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Je, wewe maoni yako ni nini?
Jibu:
wanaopinga mfumo huu wana matatizo, kwani hakuna taifa la Tanzania ambalo lilikwenda kudai uhuru Umoja wa Mataifa bali waliodai uhuru ni Watanganyika hivyo huwezi kuiua Tanganyika.

Swali: Baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakipinga taarifa ya Tume ya Jaji Warioba kuwa watu waliohojiwa na kutoa maoni ya kutaka muundo wa Serikali tatu hawazidi 17,000 ambao hawafikii hata asilimia tano ya Watanzania wote, nini maoni yako?
Jibu:
Mimi ninaamini Maombi ya Serikali tatu ni ya Watanzania wengi hao CCM ambao wanadai, maoni ya Tume ya Warioba ambaye ni CCM mwenzao hawafiki hata milioni 2.5 hata ikipigwa kura ya katiba hatawashinda.

Swali: Kutokana na utata juu ya uhalali wa maoni ya wachache kudai Tanganyika kuna hoja ya sasa kuitishwa kura ya maoni ya Watanzania wote juu ya muundo wa Muungano nini maoni yako?
Jibu:
Hakuna sababu ya kura za maoni kwani suala la kudai utaifa halina wingi au uchache ni muhimu sasa kukubaliana na Muundo wa Serikali tatu, kwani baadaye unaweza kudaiwa kwa njia ya vurugu.

Swali: kwa mujibu wa maelezo ya Jaji Warioba tayari Wazanzibari wamevunja Katiba ya Muungano kwa kuifanya Zanzibar nchi. Je, nini maoni yako?
Jibu:
Wazanzibari wanajua haki zao ndiyo sababu wamejivua hilo kongo la Muungano na ninaamini hata Watanganyika ambao walikuwa usingizini, sasa wataamka na kudai Tanganyika yao.

Swali: Kwa hali ilivyo sasa bado ni vigumu kutabiri kama mfumo wa Serikali tatu utapita. Je, ukiendelea kukwama unadhani kuna njia nyingine za kudai?
Jibu:
Binafsi nimeshasema tukishindwa kupata sasa Serikali ya Tanganyika mimi nitakwenda mahakamani tena Mahakama za kimataifa. Najua huku ndiko Watanganyika watapata haki na tayari nina mawakili wanasubiri tukwame.

Swali: Baada ya Rais Kikwete kukuteua kuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, ulitishia kutohudhuria Bunge hili imekuwaje sasa unashiriki?
Jibu:
Washauri wangu ambao ni wanasheria ndiyo wamenitaka kushiriki ili tukishindwa kuipata Tanganyika katika Bunge hili ndiyo tuendelee na kesi.

Swali: Nini maoni yako ya jumla kuhusiana na mchakato wa Katiba ambao unaendelea sasa katika Bunge hili?
Jibu:
Nina imani watu waliokuwa hawajui matatizo na kero za Muungano wamejua na sasa Tanganyika itapata uhuru wake tena.
0C65788C-118C-4C67-ABB9-2F6E1980700C.jpeg

My take:

Sijaona kundi la wanaotaka kuuvunja Uungano bali ni wanotaka kurejea kwenye mkataba wa Muungano wa mwaka 1964 na kundi lingine linalokazania Muundo uliopo. Sasa swali gumu ni Je WHAT WENT WRONG?, JE KWA NINI MABORESHO HAYATAKIWI??

Hii ndoto ya Tanganyika , kero za Muungano inaonekana ni suala la muda tu. Wakati wa kina Mtikila hili lilionekana kama comedy au hekaya za Abunuwasi lakini yawezekana walikuwa ni wachachw wenye uelewa na hawakutaka kunyamaza na sasa wamwongezeka. Je wasikilizwe au wapuuzww???

Linaweza kuwa linaonekana halipo lakini kama kuna wachache walichokonoa enzi hizo na wapo wanaoendelea kulichokonoa tena wakizidi kuongezeka basi kuna haja ya kurejea ktk maono ya Aboud Jumbe kuwa kuna Dhoruba ya miaka 60 sasa and WE NEED TO DO SOMETHING AS TWO NATIONS kuuboresha na kuulinda.
 
View attachment 2987584

Mahojiano yake na mwananchi gazeti tarehe 23 Machi, 2014.

View attachment 2987586

View attachment 2987588
Mtikila ni mtu wakukumbukwa.
 
Mimi ni MwanaCCM lakini ktk mambo ambayo wapingaji wetu wana hoja iliyowazi ni hili.

Kwa akili nyepesi tu linaeleweka tena kwa maswali mepesi.

NI KWA NINI HATUTAKI KUUBORESHA NA KUWEKA MZANI SAWA??
Kwasababu Dunia sio Paradiso. Ni vigumu mno kila kitu kikawa kinaenda sawa katika maisha ya mwanadamu ,ndio sababu kila kukicha ni afadhali ya jana.

Ukiona maisha yako yanaenda yamenyooka tu, hakuna misukosuko ya hapa na pale basi ujue Kuna shida pahala. Ndio maana mtoto akizaliwa ni sharti alie (apige kelele) asipolia ujue huyo ana tatizo
 
View attachment 2987584

Mahojiano yake na mwananchi gazeti tarehe 23 Machi, 2014.

Mchungaji Christopher Mtikila ni mmoja ya wanasiasa ambao kwa miaka zaidi ya 20 sasa, wamekuwa wakililia kurejea Serikali ya Tanganyika. Katika mahojiano na gazeti hili Mtikila akaeleza kwamba “Serikali ya Tanganyika sasa haiepukiki.”

Swali. Wewe ni Mjumbe wa Bunge la Katiba nini maoni yako baada ya Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kwenye Bunge la Katiba?
Jibu:
Jaji Warioba na tume yake wamefanya kazi nzuri na wameunga mkono harakati zangu za kuidai Tanganyika iliyo huru ambayo ilikuwa inafichwa na watu wachache.

Swali. Katika taarifa ya Jaji Warioba amebainisha changamoto nyingi ndani ya Serikali mbili je unadhani mfumo wa Serikali tatu sasa ni mwafaka?
Jibu:
Muungano ni uhusiano ya hiari na lazima usukumwe na masilahi ya kila upande, hivyo kwa sasa kuendelea na Muungano unaopingwa kila upande ni sawa na utumwa.

View attachment 2987586

Swali: Baadhi ya Watanzania wamekuwa wakipinga Mfumo wa Serikali tatu ambao, umependekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Je, wewe maoni yako ni nini?
Jibu:
wanaopinga mfumo huu wana matatizo, kwani hakuna taifa la Tanzania ambalo lilikwenda kudai uhuru Umoja wa Mataifa bali waliodai uhuru ni Watanganyika hivyo huwezi kuiua Tanganyika.

Swali: Baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakipinga taarifa ya Tume ya Jaji Warioba kuwa watu waliohojiwa na kutoa maoni ya kutaka muundo wa Serikali tatu hawazidi 17,000 ambao hawafikii hata asilimia tano ya Watanzania wote, nini maoni yako?
Jibu:
Mimi ninaamini Maombi ya Serikali tatu ni ya Watanzania wengi hao CCM ambao wanadai, maoni ya Tume ya Warioba ambaye ni CCM mwenzao hawafiki hata milioni 2.5 hata ikipigwa kura ya katiba hatawashinda.

Swali: Kutokana na utata juu ya uhalali wa maoni ya wachache kudai Tanganyika kuna hoja ya sasa kuitishwa kura ya maoni ya Watanzania wote juu ya muundo wa Muungano nini maoni yako?
Jibu:
Hakuna sababu ya kura za maoni kwani suala la kudai utaifa halina wingi au uchache ni muhimu sasa kukubaliana na Muundo wa Serikali tatu, kwani baadaye unaweza kudaiwa kwa njia ya vurugu.

Swali: kwa mujibu wa maelezo ya Jaji Warioba tayari Wazanzibari wamevunja Katiba ya Muungano kwa kuifanya Zanzibar nchi. Je, nini maoni yako?
Jibu:
Wazanzibari wanajua haki zao ndiyo sababu wamejivua hilo kongo la Muungano na ninaamini hata Watanganyika ambao walikuwa usingizini, sasa wataamka na kudai Tanganyika yao.

Swali: Kwa hali ilivyo sasa bado ni vigumu kutabiri kama mfumo wa Serikali tatu utapita. Je, ukiendelea kukwama unadhani kuna njia nyingine za kudai?
Jibu:
Binafsi nimeshasema tukishindwa kupata sasa Serikali ya Tanganyika mimi nitakwenda mahakamani tena Mahakama za kimataifa. Najua huku ndiko Watanganyika watapata haki na tayari nina mawakili wanasubiri tukwame.

Swali: Baada ya Rais Kikwete kukuteua kuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, ulitishia kutohudhuria Bunge hili imekuwaje sasa unashiriki?
Jibu:
Washauri wangu ambao ni wanasheria ndiyo wamenitaka kushiriki ili tukishindwa kuipata Tanganyika katika Bunge hili ndiyo tuendelee na kesi.

Swali: Nini maoni yako ya jumla kuhusiana na mchakato wa Katiba ambao unaendelea sasa katika Bunge hili?
Jibu:
Nina imani watu waliokuwa hawajui matatizo na kero za Muungano wamejua na sasa Tanganyika itapata uhuru wake tena.
View attachment 2987588

My take:

Sijaona kundi la wanaotaka kuuvunja Uungano bali ni wanotaka kurejea kwenye mkataba wa Muungano wa mwaka 1964 na kundi lingine linalokazania Muundo uliopo. Sasa swali gumu ni Je WHAT WENT WRONG?, JE KWA NINI MABORESHO HAYATAKIWI??

Hii ndoto ya Tanganyika , kero za Muungano inaonekana ni suala la muda tu. Wakati wa kina Mtikila hili lilionekana kama comedy au hekaya za Abunuwasi lakini yawezekana walikuwa ni wachachw wenye uelewa na hawakutaka kunyamaza na sasa wamwongezeka. Je wasikilizwe au wapuuzww???

Linaweza kuwa linaonekana halipo lakini kama kuna wachache walichokonoa enzi hizo na wapo wanaoendelea kulichokonoa tena wakizidi kuongezeka basi kuna haja ya kurejea ktk maono ya Aboud Jumbe kuwa kuna Dhoruba ya miaka 60 sasa and WE NEED TO DO SOMETHING AS TWO NATIONS kuuboresha na kuulinda.
Tanganyika kurudi ni suala la muda tu hata kama wachache ndani ya CCM hawataki.
Itakaporudi Tanganyika Mtikila atambulike kama baba wa Taifa la Tanganyika ambalo alilipigania uhai wake wote. Mungu amlaze mahali pema mbinguni kwa kazi aliyoifanya ya kupigania taifa lake la Tanganyika tena kwa njia ya amani.
Tatu wale watanganyika wote wanaopinga sasa kurudi kwa Tanganyika wasiruhusiwe kushika nafasi yeyote ys uongozi kuanzia ujumbe wa mtaa hadi urais katika Tanganyika mpya ijayo.
 
Tulimhitaji sana yule mzee hizi nyakati maana alitufaa sana kwa maoni yake. Yule ndie mpinzani pekee aliyekuwa anasimamia Tanganyika eneo la haki.
Alikuwa kipindi chenye Tembo wengi.

Julius, Mwinyi,Ben, Mrisho na wahafidhina walikuwa wengi.

Hivi sasa wamezeeka na wamwchoka
 
Back
Top Bottom