Wana jf mimi nna wazo

Wana jf mimi nna wazo

mkiwa tayari mnishtue au wale ambao wako tayari mnishtue mimi niko tayari na nina uzoefu mkubwa wa kuandaa Bash.

sehemu yoyote mkiwa tayari mnishtue niko tayari kusafiri sehemu yoyote ile tufahamiane na kuonana live.
Bash italindwa na makomandoo nitagharamia
 
mkiwa tayari mnishtue au wale ambao wako tayari mnishtue mimi niko tayari na nina uzoefu mkubwa wa kuandaa Bash.

sehemu yoyote mkiwa tayari mnishtue niko tayari kusafiri sehemu yoyote ile tufahamiane na kuonana live.
Bash italindwa na makomandoo nitagharamia
Great MoneyST' always first to voluntia !! .. kind thanx
 
ata kama uko kama sanamu la michelini usijali Dinazarde .

unaweza pata deal kwenye vituko show

Heee basi utanipigiaa pande ili nfike kule kwenu Indianpolis sijui nimepatiaa maana sie wa mikoani banaaa,ili niweze kufata nyayo kama mr.Bean
Halafu we unajua kabisaa watu wa jf walivyo na midomo basi tukishaonana humu ndan kutakua hakuna kujadili Zito wala Mbowe,CCM wala CHADEMA itakua ni kujadili ulimuona fulani kumbe kanatusumbuaga tu humu hakana lolote kabayaaaaa
Nadhan unawajua watu wako
 
Last edited by a moderator:
Wazo lako limepokelewa,ngoja kwanza ufanyike upembuzi yakinifu,ili tukiona inafaa ufanyike mpango mkakati
 
chit chat wana hyo program

Sikumoja Nilipita Kidogo Pe MMU, Nilikuwa Naelekea Nyumbani Ujasiriamali. Niliona MMU Wanaploglamu Kama Hii, Wanakutana Na Hakuna Kutaja Jina Pengine Kama Utapenda. Na Wanachangishana Fedha Kabisa Wanakodi Ukumbi Si Wazo Mufilisi Saaaana
 
Hii kali unafananaje mpk mwanadamu mwenzio acheke mwaka mzima kwa kukuona tu?

Ndugu yangu si unajua uumbaji na upendeleo wa Mungu hizi avatar zinadanganya watu kuna watu wamependelewaa na Mungu ukiwaona waweza hata zimiaaa bora tuonane humu humu kimya kimyaa
 
Wengine tupo hivi sasa ukifika hapo utabaki mwenyewe
 

Attachments

  • 1389848079948.jpg
    1389848079948.jpg
    9 KB · Views: 88
Me hapana labda nikuone wewe ila mimi usinione
 
Back
Top Bottom