Wana JF leo yamenikuta

Wana JF leo yamenikuta

Alianza Tatty kuaga kwa style hii hii ya sintofahama na yeye akionyesha yaliyomkuta huku JF ni mazito na inabidi akimbie sasa hiv ni huyu Bushland naye akiaga kwa style ile ile hasemi nini kimemkuta ni anakimbia kimbia tu...Nini kinawakuta hawa watu tena inaonekana maswahiba hayo yanawatokea kwa siri..
Kuna watu wanaleta jokes kwenye hizi ishu hebu tuwe makini I think something is going on
 
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Yeleuwii uwii yeleuwiiii
 
Mi sishangai sana maana huyu mtu kama mmefuatilia post zake ni kwamba alikuja na post kusema
"anaachana na mmewe anataka kuwa single"
Akaona aitoshi akaja na post kusema "Nimechoshwa na mapenzi nataka kuchoma sindano yakuondoa hisia za mapenzi nataka nisiwe na hisia"
Haikuishia hapo akaja na nyingine kusema
"Leo nimetoka kuchoma sindano ya kuwa kichaa na kutokuwa na hisia za mapenzi"

Sasa jamani kwa yote hayo mnaona huyu ni mzima?
 
Stress frustrations na loneliness
 
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Heeee pole ndugu ndio Dunia ilivyo yatapita
 
Udananda kazi... Ukute kaombwa unyumba leo. Tehe

On Serious Note:

Bwana Mungu amuepushie mabaya yote mwenzetu huyu. Natumai yu mzima huko aliko.

Wandugu tuwe makini sanaa na watu tunao amua kuzoeana na kujenga nao urafiki. Kuna watu sio kabisa. Ukishaona mtu anakupa bad vibes/feelings, projecting negative energies on ur life and that they have No grasp of Loyalty just revoke that friendship/relationship without any hesitation.

Kuna watu wana roho za kishetani tunaishi nao kila siku kwenye jamii zetu.
Play it safe fellaz. #Peace.
 
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Pole sana kwa yaliyokukuta. Tujuze tukupe msaada wa kimawazo katika kipindi hiki kigumu unachopitia...
 
wasalimie mbinguni ndugu yetu ukija usisahau zawadi.
 
...anakuwa tressed na jamaa take ambaye huenda yupo humu, hivyo hubidu aage, then aje kivingine.
 
Back
Top Bottom